Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesoma gazeti la tz daima la leo ukweli nimelitoa thamani hili gazeti tena sana ni bora hata magazeti ya udaku lakini hili gazeti liko moja kwa moja kwenye mfumo wa uchochezi na kupindisha ukweli wa mambo.. kwanza napata tabu na elimu ya mhariri wa gazeti la tz daima kama kweli anaweledi wa uandishi wa habari au ni kachanjanja tu anaandika kinachoelekezwa na mwenye gazeti hilo .............. kwenye mtandao wa fb wengi na wapo watu wanaingia na id ya majina ya watu wengine na majina mengine ni ya kutunga .... leo habari ambayo huna uhakika kama ni ridhiwani au nape kasema unakuja kuiweka kwenye ukurasa wa mbele na ref yake facebook!!!!!! hata kama tz daima liko kisiasa kwa ajili ya kuipaisha chadema lakini kuna umuhimu wa kuhakiki habari mnazozitoa .... juzi juzi wametoka omba radha kwa taarifa ya uongo kuhusu kufukuzwa kwa mwema,nchimbi wasira... na taarifa nyingi za uongo mwindishi anakuw ni" na waandishi wetu"
TUKIO la kutekwa, kuteswa na kujeruhiwa vibaya kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Absalom Kibanda usiku wa kuamkia Jumatano wiki hii, limechukua sura mpya baada ya mtu aliyejitambulisha kama Ridhiwani Kikwete akitumia ukurasa wake wa mtandao wa facebook kutoa maneno ya kejeli, akihoji kama nae ametekwa na Ikulu.
[TD="bgcolor: #ffffff"][/TD]
na Waandishi wetu
[TD="width: 140, bgcolor: #ffffff"][/TD]![]()
hakika kuna taaria
nyingi juu ya kujeruhiwa kwa bwana absalom kibanda mwenykt wa jukwaa la
wahariri,miongoni mwa taarifa hizo ni kuwa bwana mbowe kama bosi wa
awali wa bwana kibanda anahusika
wanajanvi mm naona hili linaunganishwa na lile a chacha wangwe nakukipa
mashaka chama chetu,,,,,
nashaur mbowe ajitokeze na kuweka wazi endapo kama hawakuwa na maelewano
na kibanda mpaka kutishiana maisha au ni uzushi tu wa watu
SIJAELEWA sentensi hii " Kauli hii inaakisi maoni kadhaa yanayosambazwa tangu juzi katika maeneo na mitandao kadhaa,yakiwanukuu baadhi ya makada namashabiki wa CCM ambao wanasema wanalenga kuinusuru serikali isihusishwe na tukio la kutekwa kwa Kibanda. "
Ina maana kila tukio linalotokea hapa nchini linalohusu utesaji au mauaji, lazima Serikali ihusike? ukisikia propaganda ndo hizi.
Kwanin chama kilichoongoza kutoa matamko kwenye media kuhusiana na tukio la ulimboka wapo kimya kwenye tukio hili la kutekwa na kupigwa kwa Absalom Kibanda ????.wapi mnyika,slaa,mbowe,mbilinyi,lema,msingwa,wenje,heche???
hakika kuna taaria nyingi juu ya kujeruhiwa kwa bwana absalom kibanda mwenykt wa jukwaa la wahariri,miongoni mwa taarifa hizo ni kuwa bwana mbowe kama bosi wa awali wa bwana kibanda anahusika
wanajanvi mm naona hili linaunganishwa na lile a chacha wangwe nakukipa mashaka chama chetu,,,,,
nashaur mbowe ajitokeze na kuweka wazi endapo kama hawakuwa na maelewano na kibanda mpaka kutishiana maisha au ni uzushi tu wa watu
Wewe wasema baba awakemee watoto, wakati yeye ndiye mastermind wa maovu yote yanayotokea nchini?!
Nitatoa ushahidi mchache kuthibitisha kauli yangu. Ametekwa Ulimboka,gazeti la Mwanahalisi likatimiza wajibu wake kwa jamii na likatekeza wito mkubwa wa Polisi jamii, kutoa clues za aliyemteka Dr Ulimboka. Matokeo yake gazeti limefungiwa. mwanzo watu hawakuelewa ni nani hasa aliyeshinikiza kufungiwa gazeti hilo, jibu tulilipata Addis Ababa, wakati mkulu, alipokuwa anahudhuria kikao cha wakuu wa nchi za Afrika, alipojiapiza kuwa kamwe hatalifungulia gazeti la Mwanahalisi, kwa kuwa limechochea maaskari kuasi!
Hilo lilikuwa ni jambo la hatari mno kwa nchi, kwa Rais wa nchi kudanganya waziwazi ilimradi tu ahalalishe udhalimu wake!!
Tukio la pili ni la Mwangosi, pamoja na mkulu kuwa mtumaji mzuri sana wa salaam za rambirambi kwenye misiba mbalimbali, kwenye msiba wa Mwangosi, hakutaka kabisa kutuma salaam za rambirambi, na kuthibisha kuwa kuna namna fulani ali-collude na wahalifu, kwenye tukio hilo! Pamoja na watu na makundi mbalimbali kumtaja kamanda Kamuhanda kuwa ndiye aliyetoa amri kwa askari aliyemfyatululia bomu Mwangosi, Kamuhanda siyo tu hajafikishwa kwenye vyombo vya sheria, bali pia mteule wake Rais hajamsimamisha kazi kwa tendo lake hilo la uovu wa hali ya kutisha mno!!
Tatizo kubwa la watawala madhalimu popote Duniani, wanapoona wamezungukwa na vyombo vya mabavu vya dola wanaamini watadumu madarakani milele, lakini kitu wanachokisahau ni kuwa Historia inasema hakuna mahali popote Duniani ambapo vyombo vya dola vilishinda nguvu ya Umma wakati wote. Mifano michache barani Afrika ni Misri,Tunisia, Libya na Ivory Coast!!
Rais wetu ndio anayetakiwa kuwa mkali kwa familia yake na kuwaeleza wanamweka mahali pabaya kama kiongozi wa nchi.Labda kama hili hawalielewi.Unless kama Urais wake ni wa Familia yake.
.....Unless kama Urais wake ni wa Familia yake.