Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba yake katika kujadili masuala ya jamii na kutoa maelekezo? Je katiba yetu inasemaje kuhusu nafasi ya familia ya Rais katika masula ya nchi (Serikali)?
 
Usultani huo Mkuu! Kwani Katiba inasemaje kuhusu mama yake hapa Mwanza anapo pigiwa magoti na viongozi?
 
JOMO KENYA.jpeg

one time yes; like her father like son
 
alizungumza kama.1.mtoto wa rais.2.mwana ccm.3.mwananchi wa kawaida.tujadili haya pia
 
Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba yake katika kujadili masuala ya jamii na kutoa maelekezo? Je katiba yetu inasemaje kuhusu nafasi ya familia ya Rais katika masula ya nchi (Serikali)?

Akumbuke tu ya kuwa si baba yake wala CCM WATAKAOTAWALA MILELE!!!!
 
Nikisikia Ridhiwan najisikia kichefuchefu!
 
Kwa nini hawajifunzi kwa first family wa nchi nyingine duniani? Umaskini wao ndiyo umewafanya waishi wanavyoishi kama waze wa mujinim midili chafu kibao!! Ngona hii nchi ichukuliwe na mzalendo, yaani Azimio la Arusha litarejea na nationalisation ya mali zetu zote!!
 
alizungumza kama.1.mtoto wa rais.2.mwana ccm.3.mwananchi wa kawaida.tujadili haya pia
​Anazungumza kama sehemu ya serikali na kama kiongozi wa CCM!
 
Kutokana na uchochezi unaotolewa na Ridhiwani katika mitandao ya kijamii(k.m. Facebook), ni sahihi kwa vyombo vya dola kutochukuwa hatua za kumuhoji? Je ni sahihi kwa Ridhiwani kutumia nafasi ya baba yake katika kujadili masuala ya jamii na kutoa maelekezo? Je katiba yetu inasemaje kuhusu nafasi ya familia ya Rais katika masula ya nchi (Serikali)?

Ileje mbona humu JF kuna watu wanatoa maneno ya kashifa kuliko hata hayo aliyoandika Ridhi lakini hawahjojiwi? Tunapaswa kuvumiliana tu, ukiona aliyoandika ni ya kitoto unadharau basi.
 
Kwa nini hawajifunzi kwa first family wa nchi nyingine duniani? Umaskini wao ndiyo umewafanya waishi wanavyoishi kama waze wa mujinim midili chafu kibao!! Ngona hii nchi ichukuliwe na mzalendo, yaani Azimio la Arusha litarejea na nationalisation ya mali zetu zote!!
Hivi mipaka ya Tume ya Maadili ya viongozi wa umma inaishia kwa mawaziri tu? Kama ni hivyo basi tume ya Warioba inapaswa ipanue wigo mpaka kwa Marais wastaafu katika katiba mpya.
 
Wananchi wengi walitoa maoni kuwa kipengele kiwepo cha kumuweka hatiani rais na familia yake kama walitumia madaraka kufanya uhalifu au kujinufaisha!! Sasa sijaelewa kama watakiweka. Ila kilisisitizwa na wananchi wengi sana.
 
When u got nothing to loose whateva comes infront of ur live is yours..just take it at zero cost coz u don even have a penny to pay for it.
 
Back
Top Bottom