Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

kwan bado hujajua hilo ni gazeti la udaku? mwandishi na taaluma yake hawezi kutumia ref ya fb. labda mbulula
 
Msibani mchawi ndie hujifanya ana uchungu sana na Marehemu! Hata lile neno ' afande mshuti' pengine Kibanda alisema 'kamanda' mshuti wame edit!
 
Mkuu, kama Tanzania daima wamepindisha ukweli wewe si ungeuweka huo ukweli hapa ili tupembue pumba na mchele?
 
waseme nini wakti wao ndio wahusika

acha kukoment kama unahara! Chunguza,pata majibu ndipo uongee, bila shaka Mbowe alipotoka hospitali aliongea na vyombo vya habari pia Kibanda alipokua akipelekwa airport slaa alikuwapo na alizungumza pia.je ulitaka iweje?
 
Kachukue malipo yako ya siku kwa Nape. Usisahau kuchukua na fulana na kofia kisha uendelee na umasikini wako na familia yako wakati akina Ridhione wakiendelea kuiibia tu hii nchi na kuendelea kuwatesa wale wote wanaowaona ni adui zao.
 
CCM mmeamua kuligeuza suala la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya Mtanzania mwenzetu kuwa ni la kisiasa na kulifanyia propaganda.....TUMEIFAHAMU NIA YENU!
Mnataka kuficha maovu na udhaifu wa serikali ya chama chenu........Kama ilivyokuwa kwa lile la Ulimboka, serikali haoiwezi kujinasua kamwe, alichokizungumza Kibanda hospitali ndo ushahidi tosha.....WALA MSIJITOE!
 
hakika kuna taaria nyingi juu ya kujeruhiwa kwa bwana absalom kibanda mwenykt wa jukwaa la wahariri,miongoni mwa taarifa hizo ni kuwa bwana mbowe kama bosi wa awali wa bwana kibanda anahusika

wanajanvi mm naona hili linaunganishwa na lile a chacha wangwe nakukipa mashaka chama chetu,,,,,

nashaur mbowe ajitokeze na kuweka wazi endapo kama hawakuwa na maelewano na kibanda mpaka kutishiana maisha au ni uzushi tu wa watu
 
Hivi wewe unaishi nchi gani? Ukumuona Mwenyekiti wa Chama, kamanda wa anga Freeman Mbowe alipotoa tamko baada tu ya kwenda kumuona ndugu Kibanda? Au ndio wale wale wanataka kuleta hoja uharo kuwa CHADEMA inahusika na upuuzi huu wa usalama wa magamba?
 
Hapa tatizo liko wapi? mwandishi kaeleza kuwa ni mtu aliyejitambulisha kwa jina la Ridhiwani, haya hata ukitaka kumtetea si huyo huyo alitumia wall yake face book kuhoji elimu ya Mnyika? Wewe unamsemea Ridhiwan kama nani? Kisha andika haifutiki, na watu weshamweleza ukweli. Mbona Rfa kipindi cha magazeti asbui mengi yameandika hiyo habari? We umeona Tanzania daima tu, acha chuki binafsi wewe
 
waseme nini wakti wao ndio wahusika

Kusingekuwa na haja ya kuwaita FBI wakati wewe upo. Acha maneno kama haya ndugu yangu kwani Tanzania ni yetu sote. Hata kama wewe unapo pakukimbilia, kumbuka hutakimbia na ndugu zako wote.
 

We Kibe wewe,
Usitake kuchafua hali ya hewa hapa kama huyo jamaa yako Riz1 alivyochafua huko kwenye Facebook!
Wewe inaonyesha tu kuwa hata hujui maana ya mitandao ya kijamii au unataka kupotosha ukweli huo ulioandikwa kwenye ukurasa wa Riz1 kwenye mtandao wa f/book!!!

Kama wewe umejisajili hapa kwenye Jamiiforums kama Kibe unashangaa nini Riz1 na Nepi kujisajili kwenye mtandao huu na hiyo mingine ya Facebook????Hivi hujui kuwa kuna vigogo dunia nzima kuanzia Rais wako Kikwete,mkewe na watoto wako kwenye mitandao hii ya kijamii na wanaingia kusoma na kuchangia kama unavyofanya wewe???

Sasa unachoshangaa kilichoandikwa na Tanzania Daima ni nini???Acha kutetea pumbaf maana inaonekana kwamba wewe ni walewale ambao hawataki ukweli usemwe! Magazeti yanayoandika ukweli yanafungiwa au kulaumiwa kama ilivotokea kwa MwanaHalisi!!!
 
Acha kutoka povu na mishipa ya shingo bure,Walichoandika ndo ukweli ulioandikwa na riz na bashe kupitia account ya riz1 nayoifahamu kwa muda mrefu wala sioni tanzania daima wanapochochea,mngekuwa na busara labda mngetueleza account ya riz iliingiliwa na hackers tungeelewa,usipindishe tena ukweli siku nyingine eeh!,by the way kachukue posho yako kwa nape
 
Unataka kuwafungua midomo walio nuna
wasikilize watakavyo kuja jtatu
 
KIBE uspinde sana kuibedha chadema, jizoeshe kuipenda usijepata mshituko 2015
 


Kama Chadema ingekuwa inahusika sasa hivi ungesikia wamekwisha kamata washukiwa. Chadema hawana SMG wala wataalamu wa kung'oa watu kwa plaisi ni serikali pekee; ndiyo maana haiwezi kujikamata. SUBIRI HAKUNA MAKALI YASIYO NA NCHA
 
Ukweli binafsi napata shida na weledi wa mhariri wa tz daima kwa taarifa nyingi wanazoziandika hasa za ukurasa wa mbele..maudhui yake ukweli hayataki meme nchi yetu.
 
Sidhani kama unaishi nchi hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…