samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Kaifanyie wheel balance & wheel alignment, Hilo tatizo litaishaWapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Asante Mkuu,fundi pia aliniambia hivo ila nikaona nivema kujaa hukuu pia Na kupata mawazo kabla sijaenda, nitaleta mrejeshoKaifanyie wheel balance & wheel alignment, Hilo tatizo litaisha
Pima pia na stering balance, check na bolt za kushika ingini kwenye bodi ziko sawaKaifanyie wheel balance & wheel alignment, Hilo tatizo litaisha
Break disc zisafishe, peleka workshop watazifanyia turning kidogo!Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Tatizo ni moja tu...moja tu,cum n' thanks me later.!Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Tatizo ni moja tu...moja tu,cum n' thanks me later.!
Kuna bolti mbili za kushikia usukani,moja inafungwa kwa ndani ya gari chin ya dashboard na nyingine chini uko kwa usukani. Hizi huwa zile tredi zake zinachokaga...badilisha hzo bolti na tatizo limeisha.
Kama si ilo ni tatizo then badilisha vibushi vidogo vinavyoshikilia rod ya stering...yaan tirerod hand.
Solutions ni hzo mbili tu.
Melvine.!
Thanks nimeanza na while balance Na while aligment, Keisha naenda nitaleta mrejesho hapaTatizo ni moja tu...moja tu,cum n' thanks me later.!
Kuna bolti mbili za kushikia usukani,moja inafungwa kwa ndani ya gari chin ya dashboard na nyingine chini uko kwa usukani. Hizi huwa zile tredi zake zinachokaga...badilisha hzo bolti na tatizo limeisha.
Kama si ilo ni tatizo then badilisha vibushi vidogo vinavyoshikilia rod ya stering...yaan tirerod hand.
Solutions ni hzo mbili tu.
Melvine.!
Sawa wataalamu wetu wa vitu vya kizungu.Sie wengine siku tukiacha kutumia baiskeli/kunyenga kembelee na kumiliki kiti moto/noah tutakuwa na mahala pa kuanzia zitakapoanza kusumbua/kuleta ngebe.Hongereni, fungukeni mafundi mchundo tufaidi zaidi.Thanks nimeanza na while balance Na while aligment, Keisha naenda nitaleta mrejesho hapa
Sasa mkuu kama ukiiwasha tu gari inatetemeka hapo tatizo sio wheel balance au stealing!Asanteni Sana, nikiwasha injini ,Gari inatetemeka pia
speed ya 75 ina vibrate engine na ndio inayotikisa vyote hivyoWapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Punguza[emoji263]Plugs
Coil
Exhause imetoboka
Pump ya mafuta
tank lina uchafu
hivyo vyote vinapelekea gari kutumia nguvu nyingi kuchoma mafuta
Tatizo la kutetemeka ni wheel balacing aanze nayo.Kaifanyie wheel balance & wheel alignment, Hilo tatizo litaisha