Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
355
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
 
Plugs
Coil
Exhause imetoboka
Pump ya mafuta
tank lina uchafu

hivyo vyote vinapelekea gari kutumia nguvu nyingi kuchoma mafuta
 
Kuna sababu nyingi moja alignment au wheel balance

Pili angalia bush za stabilizer link kama zipi poa, stearling rack, na tairod end au rackiend

Hivyo ndio sababu kuu ya mtetemo
 
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Break disc zisafishe, peleka workshop watazifanyia turning kidogo!
 
Ukishindwa vyote badilisha rims... Za mbele weka nyuma za nyuma weka mbele.. Niliwahi kuhangaika sana na Tatizo kama hilo ila ufumbuzi wake ukawa ndio huo baada ya kwenda kwenye garage moja ya mturuki pale Tankbovu! Na ni kweli maana siku chache zilizopita nilichomekewa na 124 nikajikuta napiga bega la barabara na kupasua tairi pale pale, nilipotoka pale nikafunga tairi nyingine kimbembe cha kushake kikaanzaaa... Doooooh... Nilipata shida mno mpaka kuja kupata ufumbuzi na ndo hapo nikakumbuka kua niligonga!!!
 
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Tatizo ni moja tu...moja tu,cum n' thanks me later.!

Kuna bolti mbili za kushikia usukani,moja inafungwa kwa ndani ya gari chin ya dashboard na nyingine chini uko kwa usukani. Hizi huwa zile tredi zake zinachokaga...badilisha hzo bolti na tatizo limeisha.

Kama si ilo ni tatizo then badilisha vibushi vidogo vinavyoshikilia rod ya stering...yaan tirerod hand.

Solutions ni hzo mbili tu.

Melvine.!
 
Thanks nimeanza na while balance Na while aligment, Keisha naenda nitaleta mrejesho hapa
 
Sawa wataalamu wetu wa vitu vya kizungu.Sie wengine siku tukiacha kutumia baiskeli/kunyenga kembelee na kumiliki kiti moto/noah tutakuwa na mahala pa kuanzia zitakapoanza kusumbua/kuleta ngebe.Hongereni, fungukeni mafundi mchundo tufaidi zaidi.
 
Hata Mimi ikifika speed 100 nasikia tairi za mbele zinatetemeka sijui ni tatizo kama lako au langu lingine
 
Asanteni Sana, nikiwasha injini ,Gari inatetemeka pia
Sasa mkuu kama ukiiwasha tu gari inatetemeka hapo tatizo sio wheel balance au stealing!
Tatizo hapo Ni AMA silencer iko juu sana AMA engine mounting!! Engine kama haikukaa Vizuri kwenye mounting itasababisha gari itetemeke kwasababu engine haijatulia
 
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
speed ya 75 ina vibrate engine na ndio inayotikisa vyote hivyo
 
Toa Auto pilot.. Weka Nose Down. Ikitulia rudi kwenye Cruising attitude yako... Ila usiweke tena Auto pilot. Inaonekana speedmeter ina tatizo.
 
Back
Top Bottom