Cheki engine mounting na pia spark plugs pia ignition coil kama inatoa moto sawa sawa ...Asanteni Sana, nikiwasha injini ,Gari inatetemeka pia
Kwa Noah yenye engine 3s ukiwa unatumia full ac inatakiwa ile si chini ya km 8 kwa lita na ikiwa katika hali nzuri hadi km 10 kwa Lita mojaNje ya mada mkuu ,,uraji wa mafuta lita 1 ni km ngap mkuu
Toa Auto pilot.. Weka Nose Down. Ikitulia rudi kwenye Cruising attitude yako... Ila usiweke tena Auto pilot. Inaonekana speedmeter ina tatizo.
Kapime magurudumu.W/B uzito wa magurudumu.Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Mkuu ukiwa unavuta bangi sio wote wanavuta bangi wengine tushapata matatizo kama hayo na solution ilikua hiyo so usikalili kama symptons zote za gari tatizo ni moja.Punguza[emoji263]
i said something like this kuna kenge moja akaona navuta bangiCheki engine mounting na pia spark plugs pia ignition coil kama inatoa moto sawa sawa ...
Engine mounting zikiwa zimekatika zinasababisha mtikisiko wa engine kwenda kwenye body
Spark plugs zikiwa hazichomi vizuri zinasababisha engine kutikisika hivyo kufanya gari kutikisika pia
Ignition coil ikiwa mbovu huwa zinatoa Umeme chini ya kiwango hivyo kufanya spark plugs kutochoma vizuri na kisababisha engine kutikisika
Khaaa.....kweli kazi imemkuta fundi.Plugs
Coil
Exhause imetoboka
Pump ya mafuta
tank lina uchafu
hivyo vyote vinapelekea gari kutumia nguvu nyingi kuchoma mafuta
Sasa huo mkweche sio gari tena.Asanteni Sana, nikiwasha injini ,Gari inatetemeka pia
Hahahah.. ...i said something like this kuna kenge moja akaona navuta bangi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaasante mkuuKhaaa.....kweli kazi imemkuta fundi.
Umenikumbusha dada mmoja yeye alisikia propeller ni kifaa cha gari. Basi tatizo kidogo likitokea lazima aulize sio propeller kweli?? hata kama gari limegoma kuwaka yeye ni propeller tu.