Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Ni kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!halafu tunaambiwa urais ni taasisi mbona tunatukanwa hivi... naandika nafuta naandika tena nafuta ngoja niache tu nisijejikuta mikononi mwa nunda!
Hii hata ukihadithia kwa watoto unapata aibu!Ni kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!
Sijawahi kabisa kuielewa hii dhana ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha!
Kweli hata Darfur inaweza kuwa na nafuu 🤣.mkuu nyani ngabu, hivi ukiwa huko nchi za wenzetu zilizoendelea nasikia ukisema unatoka Tanzania watu wanaanza kucheka wanakuona kama BAMBO?
bora niseme natoka darfur
Nimepata shida kuelewa ulichokiandika.Kuna mtu mmoja alikua kana ya ziwa huko anaitwa nyani ngabu na mwingine kanda ya kasikazini
Uyu wa kanda ya ziwa alikwenda wazir mkuu ziarani uko jamaa alivofanya maandaliz na ukalimu pm akamkubali sana na kumwambia anafaa kusaidia kazi nyingine akachukua jina lake akasepa.....
Within days si mkeka ukatoka nyaningabu ndan si yule wa kasikazin akawahi kwenda kula kiapo mzee lkn mlengwa Ali kua uyu wa kwetu 😅😅
Mpaka hapo nikajua protocol ya ikulu Hamna kitu aisee
Nimepata shida kuelewa ulichokiandika.
Ukisoma taratibu utaelewa tunimetolea mfano tu jina lako mkuu
Hapa shida sio Samia. Shida ni timu yake hasa aliyesaini huo mkeka yaani Katibu Mkuu KiongoziMtu alishasema ndoto yake ilikuwa awe mhudumu wa kwenye ndege .
Shule ikamshinda kidato cha nne akapiga bashite akaamua aolewe mke wa 4 akiwa na miaka 18
Do you expect anything tangible from her?
Huwezi kusuka timu yako vizuri kama wewe pia haupo vizuri.Hapa shida sio Samia. Shida ni timu yake hasa aliyesaini huo mkeka yaani Katibu Mkuu Kiongozi
Yeye ndo anachagua watu wa kuwepo kwenye hiyo timu yake.Hapa shida sio Samia. Shida ni timu yake hasa aliyesaini huo mkeka yaani Katibu Mkuu Kiongozi
Kusema ukweli kuna shida kubwa sana kwenye Ofisi kubwa (Ikulu)Huwezi kusuka timu yako vizuri kama wewe pia haupo vizuri.
It a simple Maths hayo majina alipoletewa angeweza kujiridhisha lwa kuwatafuta mmoja mmoja na hapo ndio angejua ukweli.
Hii ni sign tosha wengi sana wanapachikwa uongozini kwa "vimemo" so yanatokea sio bahati mbaya ndio uhalisia.
Yeye anachagua ila wasaidizi wana jukumu la kuhakiki na kujiridhisha ili kuepuka fedheha kwa Kiongozi wao.Yeye ndo anachagua watu wa kuwepo kwenye hiyo timu yake.
Kwa mtaji huo, shida ni yeye. Hawezi kukwepa lawama.
Mtu makini huchagua wasaidizi walio makini.
Lakini pia, mtu makini hawezi kukubali jina lake liwe linatumika kiholela holela tu bila ya yeye kuhusika na kuhakiki linatumika kwa heshima.
Hao wasaidizi wake yeye ndiye kawaweka,hoja ya msingi inaanzia hapo. Hivyo hawezi kukwepa hii fedheha.Yeye anachagua ila wasaidizi wana jukumu la kuhakiki na kujiridhisha ili kuepuka fedheha kwa Kiongozi wao.
Moja ya njia za kuhakiki ni hiyo japo kuwapigia simu at least saa moja wahusika wote ili wa confirm kabla ya Tangazo halijarushwa hewani.
Kuna shida ya umakini kwenye Ofisi Kuu. Kuna watu wengi sana wasio na exposure na competency.
Ndo mana kiongozi mkuu wa nchi anadhalilika hivi