myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
DuhKuna siku watamtuea kanumba awe mkuu wa wilaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhKuna siku watamtuea kanumba awe mkuu wa wilaya
AiseeYeye ndo anachagua watu wa kuwepo kwenye hiyo timu yake.
Kwa mtaji huo, shida ni yeye. Hawezi kukwepa lawama.
Mtu makini huchagua wasaidizi walio makini.
Lakini pia, mtu makini hawezi kukubali jina lake liwe linatumika kiholela holela tu bila ya yeye kuhusika na kuhakiki linatumika kwa heshima.
Suprise Ina raha yake! Nadhani.Sijawahi kabisa kuielewa hii dhana ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha!
Abdul analihaibisha hili taifa kwa kweli, jamaa ni kilaza tu sielewi kwanini anasikilizwa na MamaLeo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea].
Kateua mtu ambaye keshakufa!
Hii ni aibu sana. Ni ishara inayoonyesha tunaongozwa na watu wasio makini kabisa.
Baadhi yetu tumeshaizungumzia hiyo tabia ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha na watu hao wanakuja kujua juu ya hizo teuzi zao kupitia mitandao ya kijamii au vyombo vya habari.
Binafsi nilianza kuiona hiyo tabia kipindi cha Rais Magufuli. Rais Samia naye naona anaiendeleza hiyo tabia kwa ari maradufu na kilele chake ndo hizi teuzi mpya!
Miaka 4 iliyopita tulijadili hiyo tabia.
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani, tukalijadili tena hilo suala.
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Mwaka jana napo tukaendelea kulijadili suala hilo hilo!
Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo
Leo tena/ jana suala hilo hilo limejirudia!
Wanateuliwa mpaka waliokufa.
Mbona ni jambo rahisi sana….ingalikuwa wateuliwa wanajulishwa kabla ya kuteuliwa kwao, aibu kama hizo za kuteua watu waliokwishakufa zisingekuwa zinatokea.
Just a simple phone call to the person letting them know ‘hey, I’m thinking of appointing you to this or that position, what do you think’?, would prevent all this embarrassment.
Bumboclats….
Pia soma:
Aisee, wewe?Umehitimisha kabisa!Mtu alishasema ndoto yake ilikuwa awe muhudumu wa kwenye ndege .
Shule ikamshinda kidato cha nne akapiga Bashite akaamua aolewe mke wa 4 akiwa na miaka 18
Do you expect anything tangible from her?
Mbona inasemekana jamaa kafariki akiwa anaenda kituo kipya Cha kazi? Sasa hakufahamishwa vipi?Ni kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!
Sijawahi kabisa kuielewa hii dhana ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha!
Lazima tujifunze kutii na kuheshimu Katiba. Ndo hii ambayo tunayo. Kama unataka ibadilidhwe kubaliana na upinzani wanaotaka mabadiliko ya KatibaKatiba ni batili.walioitunga hiyo Sheria ya kurithisha ni wa chama kimoja Cha ccm.katiba inatakiwa iseme endapo kutatokea changamoto kama iliyotupata 2021 makamu arithi miezi sita au ikizidi kabisa iwe mwaka mmoja.baada ya hapo unafanyika uchaguzi.Nchi zote duniani hakuna katiba inayomrithisha makamu zaidi ya mwaka mmoja ispokuwa ni i Tanzania pekee
Nahisi hiyo ndo kazi anayoiweza vizuri kuliko majukumu yake yote kama prezidaaLeo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea].
Kateua mtu ambaye keshakufa!
Hii ni aibu sana. Ni ishara inayoonyesha tunaongozwa na watu wasio makini kabisa.
Baadhi yetu tumeshaizungumzia hiyo tabia ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha na watu hao wanakuja kujua juu ya hizo teuzi zao kupitia mitandao ya kijamii au vyombo vya habari.
Binafsi nilianza kuiona hiyo tabia kipindi cha Rais Magufuli. Rais Samia naye naona anaiendeleza hiyo tabia kwa ari maradufu na kilele chake ndo hizi teuzi mpya!
Miaka 4 iliyopita tulijadili hiyo tabia.
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani, tukalijadili tena hilo suala.
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Mwaka jana napo tukaendelea kulijadili suala hilo hilo!
Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo
Leo tena/ jana suala hilo hilo limejirudia!
Wanateuliwa mpaka waliokufa.
Mbona ni jambo rahisi sana….ingalikuwa wateuliwa wanajulishwa kabla ya kuteuliwa kwao, aibu kama hizo za kuteua watu waliokwishakufa zisingekuwa zinatokea.
Just a simple phone call to the person letting them know ‘hey, I’m thinking of appointing you to this or that position, what do you think’?, would prevent all this embarrassment.
Bumboclats….
Pia soma:
Watajijua bana ..Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.

Hii ndio Tz bana!