Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kiongozi mkuu hana umakini, wasaidizi wake watautoa wapi huo umakini?Yeye anachagua ila wasaidizi wana jukumu la kuhakiki na kujiridhisha ili kuepuka fedheha kwa Kiongozi wao.
Moja ya njia za kuhakiki ni hiyo japo kuwapigia simu at least saa moja kabla wahusika wote ili wa confirm kabla ya Tangazo halijarushwa rasmi hewani.
Kuna shida ya umakini kwenye Ofisi Kuu. Kuna watu wengi sana wasio na exposure na competency.
Ndo mana kiongozi mkuu wa nchi anadhalilika hivi
Ipo siku atamteua Rais Magufuli kuwa kwenye tume ya kupambana na rushwa…Kufa Kufaana, Kufariki Kufarakana
Tanzania Na Ilani Ya CCM Inasema Teua Hata Marehemu
Ila nini?Yeye anachagua ila...
Hapa hakuna Rais Bali ni tapeli moja linalosubiri kuondoka kwa aibuLeo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea].
Kateua mtu ambaye keshakufa!
Hii ni aibu sana. Ni ishara inayoonyesha tunaongozwa na watu wasio makini kabisa.
Baadhi yetu tumeshaizungumzia hiyo tabia ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha na watu hao wanakuja kujua juu ya hizo teuzi zao kupitia mitandao ya kijamii au vyombo vya habari.
Binafsi nilianza kuiona hiyo tabia kipindi cha Rais Magufuli. Rais Samia naye naona anaiendeleza hiyo tabia kwa ari maradufu na kilele chake ndo hizi teuzi mpya!
Miaka 4 iliyopita tulijadili hiyo tabia.
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani, tukalijadili tena hilo suala.
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Mwaka jana napo tukaendelea kulijadili suala hilo hilo!
Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo
Leo tena/ jana suala hilo hilo limejirudia!
Wanateuliwa mpaka waliokufa.
Mbona ni jambo rahisi sana….ingalikuwa wateuliwa wanajulishwa kabla ya kuteuliwa kwao, aibu kama hizo za kuteua watu waliokwishakufa zisingekuwa zinatokea.
Just a simple phone call to the person letting them know ‘hey, I’m thinking of appointing you to this or that position, what do you think’?, would prevent all this embarrassment.
Bumboclats….
Pia soma:
Washayajua mapungufu ya boss wao so wanatembelea (wanakula) humo humo!!.Hao wasaidizi wake yeye ndiye kawaweka,hoja ya msingi inaanzia hapo. Hivyo hawezi kukwepa hii fedheha.
Pia kwa mtindo huo inaonekana wasaidizi wake amewaacha huru sana hawamuogopi wala kumheshimu boss wao.
MkuuHapa shida sio Samia. Shida ni timu yake hasa aliyesaini huo mkeka yaani Katibu Mkuu Kiongozi
ujulishwe ili ukasherehekee na masela kwanza sio kabla ya kutangazwa 🐒Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea].
Kateua mtu ambaye keshakufa!
Hii ni aibu sana. Ni ishara inayoonyesha tunaongozwa na watu wasio makini kabisa.
Baadhi yetu tumeshaizungumzia hiyo tabia ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha na watu hao wanakuja kujua juu ya hizo teuzi zao kupitia mitandao ya kijamii au vyombo vya habari.
Binafsi nilianza kuiona hiyo tabia kipindi cha Rais Magufuli. Rais Samia naye naona anaiendeleza hiyo tabia kwa ari maradufu na kilele chake ndo hizi teuzi mpya!
Miaka 4 iliyopita tulijadili hiyo tabia.
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani, tukalijadili tena hilo suala.
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Mwaka jana napo tukaendelea kulijadili suala hilo hilo!
Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo
Leo tena/ jana suala hilo hilo limejirudia!
Wanateuliwa mpaka waliokufa.
Mbona ni jambo rahisi sana….ingalikuwa wateuliwa wanajulishwa kabla ya kuteuliwa kwao, aibu kama hizo za kuteua watu waliokwishakufa zisingekuwa zinatokea.
Just a simple phone call to the person letting them know ‘hey, I’m thinking of appointing you to this or that position, what do you think’?, would prevent all this embarrassment.
Bumboclats….
Pia soma:
🙄🧐🤔Bw. MILTON LUPA KENDE MALAMU!
Huyu Jamaa mwanzoni alikuwa;
1. Mkurugenzi wa NFRA, baadaye akawa
2. Mkurugenzi wa NBAA
3. Akiwa NBAA ndo akateuliwa kuwa Mkurugenzi wa VETA Tanzania.
4. Uteuzi huo aliupata siku ya Ijumaa tarehe 31.05.2024.
5. Siku ya tarehe 02.06.2024 akiwa njiani kutoka Tanga kuja Dodoma kuripoti kuwa Mkurugenzi wa VETA akapata ajali ya gari maeneo ya Dumila Morogoro na kufariki Dunia.
6. Kumbe Jumatatu angeripoti na kuanza kazi kwa siku ya Jumanne na Jumatano jana tu leo angepata uteuzi huu mpya.
Apumzike kwa amani.
ukisifia mama kakopa na pochi la mama ana kuteua tu sasa .Leo/ jana Rais Samia kafanya tena ile kazi aiwezayo vizuri: kateua na kutengua baadhi ya watumishi wa serikali.
Ila safari hii yawezekana kaandika rekodi ambayo haijawahi kuandikwa duniani [nasimama kusahihishwa endapo nitakuwa nimekosea].
Kateua mtu ambaye keshakufa!
Hii ni aibu sana. Ni ishara inayoonyesha tunaongozwa na watu wasio makini kabisa.
Baadhi yetu tumeshaizungumzia hiyo tabia ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha na watu hao wanakuja kujua juu ya hizo teuzi zao kupitia mitandao ya kijamii au vyombo vya habari.
Binafsi nilianza kuiona hiyo tabia kipindi cha Rais Magufuli. Rais Samia naye naona anaiendeleza hiyo tabia kwa ari maradufu na kilele chake ndo hizi teuzi mpya!
Miaka 4 iliyopita tulijadili hiyo tabia.
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Baada ya Rais Samia kuingia madarakani, tukalijadili tena hilo suala.
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Mwaka jana napo tukaendelea kulijadili suala hilo hilo!
Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo
Leo tena/ jana suala hilo hilo limejirudia!
Wanateuliwa mpaka waliokufa.
Mbona ni jambo rahisi sana….ingalikuwa wateuliwa wanajulishwa kabla ya kuteuliwa kwao, aibu kama hizo za kuteua watu waliokwishakufa zisingekuwa zinatokea.
Just a simple phone call to the person letting them know ‘hey, I’m thinking of appointing you to this or that position, what do you think’?, would prevent all this embarrassment.
Bumboclats….
Pia soma:
Akisheherekea wewe kinakuuma nini? Acha roho za kichawi.ujulishwe ili ukasherehekee na masela kwanza sio kabla ya kutangazwa 🐒
ili ukafanye kama alivyowahi kufanya naibu waziri wa ardhi moja hivi ambae baadae alihamia chadema huko segerea, aliteuliwa waziri baada ya kugundulika aliandaa sherehe kabla hajatangazwa akabadilishwa kua naibu,
au kama kiongozi moja hivi alie ukosa uwaziri Mkuu kwasababu hizo hizo za kufanya sherehe kabla ya tangazo la uteuzi 🐒
hizo kazi za uteuzi zinafanyika kwa muda marefu ndugu zangu. Na for your information zoezi la uteuzi lilishafanyika kabla hata safari ya South Korea ilibaki kujirithisha na kutangazwa tu 🐒
SurprisesNi kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!
Sijawahi kabisa kuielewa hii dhana ya kuteua watu bila hata ya kuwajulisha!
Lakini mimi sishangai sana;mimi alinichosha CDF Mkunda aliposema kuna wageni wameteuliwa kwenye nyadhifa nyeti za nchi!!,leo kuteuliwa marehemu ni mwendelezo wa ukanjanjanja uleule!!Yeye anachagua ila wasaidizi wana jukumu la kuhakiki na kujiridhisha ili kuepuka fedheha kwa Kiongozi wao.
Moja ya njia za kuhakiki ni hiyo japo kuwapigia simu at least saa moja kabla wahusika wote ili wa confirm kabla ya Tangazo halijarushwa rasmi hewani.
Kuna shida ya umakini kwenye Ofisi Kuu. Kuna watu wengi sana wasio na exposure, experience ya kutosha na competency.
Ndo mana kiongozi mkuu wa nchi anadhalilika hivi
kwamba unakwenda kusherehekea au kufanya kazi ya kutumikia wanaichi 🐒Akisheherekea wewe kinakuuma nini? Acha roho za kichawi.
Mtu apimwe kwa uwezo wake na utendaji kazi wake sio mambo binafsi ambayo hayatuongezei wala kutupunguzia chochote
Acha roho mbaya na uchawi wewe! Utampangiaje mtu namna ya kuishi?kwamba unakwenda kusherehekea au kufanya kazi ya kutumikia wanaichi 🐒
ndio maana mafunzo ya JKT yalikua ni Lazima kwa mujibu wa Sheria, ili kumfanya raia yeyote kua tayari kutumika katika jukumu analopewa kwa niaba ya wanaichi, sio ulaji au sherehe ile.....
kama unataka kusherehekea baki nyumbani kwako sherehekea na familia yako...
Majukumu ya kizalendo yabaki kwa wazalendo walio tayari sio wanaosherehekea 🐒
Hamna amabae amkuwa nazo for long. No check and balance, hamna hata mtu wa ku double checkNi kama vile hiyo taasisi haina hata mtu mmoja mwenye common sense!