Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Na atakuwa tu, sahizi mwinyi kaacha watoto maraisi, wakitoka watakuja watoto wa jakaya, wakitoka hapo watakuja watoto wa Makamba, wakimaliza ni watoto wa akina Nape Nauye watapachikwa, wajukuu wa Kinana nao lazma wapewe shavu. Watoto wa Katelephone nao lazma watataka wale shavu la uraisi.Ili tupate mabadiliko ya kweli inabidi turudi kwenye factory reset, aidha kutokee machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi, kisha katiba mpya kutokana na rasimu ya Wariob. Kinyume na hapo tungoje Mwigulu awe rais Hadi amrithishe mtoto wake.
Mpaka tunakufa mfumo ndio huo huo yani tutaacha vijana wetu wakishuhudia hilo. Bila kuvurugana heshima haiwezi kuwepo.