Kuteua Watu walewale ni dalili kuwa nchi haina Rasilimali Watu

Wangekuwepo wasingezidiwa akili na waliopo kwenye mfumo.

Tukubali waliopo kwenye mfumo wapo mbele kimbinu kiakili na kibahati
Kama wangekuwa wametuzidi akili, basi usingeona mapungufu yao mpaka useme hatuna watu, simply umesema hatuna watu kwasababu ya mapungufu yao.

Kama unaona wako mbele yetu kimbinu kwasababu ya matumizi ya silaha, basi hiyo sio mbinu ya kiuwerevu, ni mbinu ya maguvu isiyo na tija kwetu ndio maana nawe unakiri kuteua watu walewale ndani ya mfumo hawana maajabu.
 
😀😀
Matumizi ya nguvu raha yake yana dhibiti wenye akili na wajinga kwa pamoja
 
Back
Top Bottom