Kuteua Watu walewale ni dalili kuwa nchi haina Rasilimali Watu

Ili tupate mabadiliko ya kweli inabidi turudi kwenye factory reset, aidha kutokee machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi, kisha katiba mpya kutokana na rasimu ya Wariob. Kinyume na hapo tungoje Mwigulu awe rais Hadi amrithishe mtoto wake.
Na atakuwa tu, sahizi mwinyi kaacha watoto maraisi, wakitoka watakuja watoto wa jakaya, wakitoka hapo watakuja watoto wa Makamba, wakimaliza ni watoto wa akina Nape Nauye watapachikwa, wajukuu wa Kinana nao lazma wapewe shavu. Watoto wa Katelephone nao lazma watataka wale shavu la uraisi.

Mpaka tunakufa mfumo ndio huo huo yani tutaacha vijana wetu wakishuhudia hilo. Bila kuvurugana heshima haiwezi kuwepo.
 
Machafuko tu ndio yatarejesha heshima ya kiutawala hapa nchini.
 
ChukuwaChakoMapema wameikamata nchi, wanaiendesha watakavyo, kulindana, kupeana vyeo kama pipi, kufumbia macho uzembe, ufisadi, kutokuwajibika!
Rasilimali watu ipo, ila hawataki kuwachaguwa..
Yaja 2025, je raia tutazinduka?!
 
Ukifuatilia muvi ya Brothers ... kwenye Startime utagundua ufanano wa kinachoteke katika mifumo yetu. Watu ambao hawafai na mafisadi wana ushawishi mkubwa kwa wananchi. Yaani wanachuliwa kama viongozi wema kumbe wamejivika tu ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Sifa kubwa ni kujionyesha kama watetezi wa wanyonge wskati ni walafi wa vyeo na mafisadi wakubwa.
 
Hao Watu wangekuwepo pasingekuwepo huo uzembe wa Mfumo.

Mfumo uliopo ndio mfumo sahihi. Kwa aina ya Watu waliopo
Watu wapo tatizo wako nje ya mfumo, badala yake tumekomaa na watu walewale waliopo ambao ni wabovu waliokufanya useme hatuna watu walioko ndani ya mfumo.

- Utambue watu ndani ya mfumo mbovu wanalindwa kwa silaha, na watu waliopo nje ya mfumo ambao ni sahihi hawana silaha, ndio maana watu wabovu wanatuongoza bila watu sahihi kupenda.

Mfumo tulionao ni mbovu, hatuwezi kuwa na mfumo sahihi kisha useme hatuna watu, kama mfumo ungekuwa sahihi na watu sahihi wangekuwepo, unaonekana hujui maana ya neno sahihi.
 
CCM ilishaishiwa watu muda mrefu sana wamebaki vilaza watupu,kumbe kazi imebaki ni bandua kilaza leta kilaza.
 
Nimeipenda hii
 
Elewa mbinu mkuu, mbinu ni kuimarisha jeshi, kutoa elimu isiyo fungua akili na kuhakikisha mfumo wa mzunguko wa fedha haswa maeneo ya mjini hautoi nafasi kwa wengi kuwa mtajiri lakini wasikose kabisa wakawa na njaa. Baasi.
 
Elewa mbinu mkuu, mbinu ni kuimarisha jeshi, kutoa elimu isiyo fungua akili na kuhakikisha mfumo wa mzunguko wa fedha haswa maeneo ya mjini hautoi nafasi kwa wengi kuwa mtajiri lakini wasikose kabisa wakawa na njaa. Baasi.
Hii Mbinu ya kibabe sana
 
"Watu ndani ya mfumo mbovu wanalindwa kwa silaha"...

"Watu sahihi wako nje ya mfumo"

Hapa umemaliza kila kitu
 

Wangekuwepo wasingezidiwa akili na waliopo kwenye mfumo.

Tukubali waliopo kwenye mfumo wapo mbele kimbinu kiakili na kibahati
 
Watu wapo ila kwa siasa zetu ni risk sana kuingiza mtu mpya kwenye mfumo. Hujui ataleta nini, Sasa inakuwa bora shetani umjuaye.
Risk Kwa nani sindiyo unaambiwa Kuna cartel?
 
Reactions: Tsh
Wangekuwepo wasingezidiwa akili na waliopo kwenye mfumo.

Tukubali waliopo kwenye mfumo wapo mbele kimbinu kiakili na kibahati
Tatizo lilianzia tangu tupate uhuru...Wale wote ambao walikuwa na mawazo mbadala walihukumiwa kwahiyo wengi wanaopanda ni wale ambao mmoja anakuwa mjanja na 90% wote wanaoguata ni ndiyo Mzee!

Hii dhambi isipotakaswa tutaendelea hivi hivi. Watu wote ambao wanataka kuweka mambo vizuri wanapigwa vita na kuondolewa kwenye mfumo haraka sana...Mifumo yetu Ina check na ku ondoa wote ambao Wana akili ya kufikiri sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…