Kuteuliwa kwa Jaji Mkuu Mstaafu Prof. Ibrahim H. Juma kunaacha maswali mengi kwenye mhimili wa Mahakama!

Kuteuliwa kwa Jaji Mkuu Mstaafu Prof. Ibrahim H. Juma kunaacha maswali mengi kwenye mhimili wa Mahakama!

Socrate2024

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
53
Reaction score
71
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?

Je hii haidhihirishe maneno ya watu waliokuwa wanasema kuwa Prof. Ibrahim Juma na mhimili wake wamewekwa mfukoni mwa executive branch?

Hata aibu hakuna!

Ni juzi tu kastaafu, halafu leo kateiliiwa tena Rais yule yule. Ama kweli Watanzania wamefanywa kama mazezeta vile🤣🤣🤣
 
Mihimili yote mitatu iko chini ya Rais kama Mkuu wa Nchi.
Kwa ki-anglais ni Head of State.

Watunzi wa Katiba walisema mihimil mitatu

Kwangu mimi naona mihimili ni mmoja wenye matawi matatu.
 
Leo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
Chagadema wanapenda kujifariji sana, haya sasa ni kweli, mtafanya nini kwa mfano, Nchi hii hamna jambo linakwenda bila ccm kuamua, mkitaka Sawa na msipotaka vile vile Sawa na chakutufanya hamna.
 
Butiama Nako Mkurugenzi Mstaafu Wa INEC Zamani NEC
Amechukua Fomu Kupitia CCM
Yaliyosemwa NA CDM Kuwa Wale Viongozi Makada Yanaonekana Na Kutia Kinyaa
Butiama Nako Mkurugenzi Mstaafu Wa INEC Zamani NEC
Amechukua Fomu Kupitia CCM
Yaliyosemwa NA CDM Kuwa Wale Viongozi Makada Yanaonekana Na Kutia Kinyaa
Very surprising indeed!!
 
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikiu cha Udom. Je kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?

Je hii haidhihirishe maneno ya watu waliokuwa wanasema kuwa Prof. Ibrahim Juma na mhimili wake wsmeerkwa mfukoni mwa executive branch? Hata aibu hakuna, ni juzi tu kastasfu halafu leo kateiliiwa tena Rais yule yule. Ama kweli Watanzania wamefanywa kama mazezeta vile🤣🤣🤣
Kibaya zaidi hata raisi mwenyewe anapatikana kwa kura za wizi . Raisi halam anateuwa watu kihalam . Mwisho wao sio mzuri . Ccm itakuja kuondoka kwaibu sana.
 
Ndio mana DGIS wa TISS act yao hairuhusu any point baada ya Kuhuduma Cheo icho, Leo Mtu kama Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anarudi kugombea akitegemea huruma za Mkuu wa Nchi kupata Jimbo, Mtu kama speaker analilia Jimbo kwa huruma za Mhimili uliojichimbia leo atatoa guts wapi za kuusimamia huo Mhimili
 
Aibu Sana Ndugu Zangu CCM Imeoza
 
Back
Top Bottom