Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?
Je hii haidhihirishe maneno ya watu waliokuwa wanasema kuwa Prof. Ibrahim Juma na mhimili wake wamewekwa mfukoni mwa executive branch?
Hata aibu hakuna!
Ni juzi tu kastaafu, halafu leo kateiliiwa tena Rais yule yule. Ama kweli Watanzania wamefanywa kama mazezeta vile🤣🤣🤣