Socrate2024
Member
- Sep 10, 2024
- 53
- 71
Umeipata wapi?Leo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
itakuwa ndotoni 😀Umeipata wapi?
Weeeee sema kweli???Leo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
Chagadema wanapenda kujifariji sana, haya sasa ni kweli, mtafanya nini kwa mfano, Nchi hii hamna jambo linakwenda bila ccm kuamua, mkitaka Sawa na msipotaka vile vile Sawa na chakutufanya hamna.Leo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
Source ya habari bosiLeo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
Butiama Nako Mkurugenzi Mstaafu Wa INEC Zamani NEC
Amechukua Fomu Kupitia CCM
Yaliyosemwa NA CDM Kuwa Wale Viongozi Makada Yanaonekana Na Kutia Kinyaa
Very surprising indeed!!Butiama Nako Mkurugenzi Mstaafu Wa INEC Zamani NEC
Amechukua Fomu Kupitia CCM
Yaliyosemwa NA CDM Kuwa Wale Viongozi Makada Yanaonekana Na Kutia Kinyaa
Mnataka wasiwe na vyama!!?Very surprising indeed!!
HahahahaButiama Nako Mkurugenzi Mstaafu Wa INEC Zamani NEC
Amechukua Fomu Kupitia CCM
Yaliyosemwa NA CDM Kuwa Wale Viongozi Makada Yanaonekana Na Kutia Kinyaa
Kibaya zaidi hata raisi mwenyewe anapatikana kwa kura za wizi . Raisi halam anateuwa watu kihalam . Mwisho wao sio mzuri . Ccm itakuja kuondoka kwaibu sana.Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikiu cha Udom. Je kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?
Je hii haidhihirishe maneno ya watu waliokuwa wanasema kuwa Prof. Ibrahim Juma na mhimili wake wsmeerkwa mfukoni mwa executive branch? Hata aibu hakuna, ni juzi tu kastasfu halafu leo kateiliiwa tena Rais yule yule. Ama kweli Watanzania wamefanywa kama mazezeta vile🤣🤣🤣
Aibu Sana Ndugu Zangu CCM ImeozaNdio mana DGIS wa TISS act yao hairuhusu any point baada ya Kuhuduma Cheo icho, Leo Mtu kama Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi anarudi kugombea akitegemea huruma za Mkuu wa Nchi kupata Jimbo, Mtu kama speaker analilia Jimbo kwa huruma za Mhimili uliojichimbia leo atatoa guts wapi za kuusimamia huo Mhimili
Huyu mama ana gundu sana!Leo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
JamiiforumSource ya habari bosi
Hayakuhususasa ni kweli, mtafanya nini kwa mfano,
JamiiforumUmeipata wapi?