Mhimili ni mmoja (serikali kuu) wenye branches 2. Yaani serikali kuu ni biology hv vi mahakama ni km botany na zoologyMihimili yote mitatu iko chini ya Rais kama Mkuu wa Nchi.
Kwa ki-anglais ni Head of State.
Watunzi wa Katiba walisema mihimil mitatu
Kwangu mimi naona mihimili ni mmoja wenye matawi matatu.
Wilson Mahera!!Butiama Nako Mkurugenzi Mstaafu Wa INEC Zamani NEC
Amechukua Fomu Kupitia CCM
Yaliyosemwa NA CDM Kuwa Wale Viongozi Makada Yanaonekana Na Kutia Kinyaa
Zaidi ya MazezetaWatu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?
Je hii haidhihirishe maneno ya watu waliokuwa wanasema kuwa Prof. Ibrahim Juma na mhimili wake wamewekwa mfukoni mwa executive branch?
Hata aibu hakuna!
Ni juzi tu kastaafu, halafu leo kateiliiwa tena Rais yule yule. Ama kweli Watanzania wamefanywa kama mazezeta vile🤣🤣🤣
NdiyoWilson Mahera!!
chama kilishampitisha kuwa mgombea pekee. Nani mwingine anataka kuvunja maamuzi ya kamati kuu ya chama ?Leo tujadili zaidi kukataliwa kwa Samia kuwa mgombea urais. Hii ndiyo habari kubwa kwa leo.
Hivi mnaona Tanzania kuna mihimili! Tanzania mambo ya mihimili yapo kwenye vitabu. Hivi Tulia unaona anaweza kuwa muhimili kweli, mtu utolewe huko upachikwe sehemu na waliokupachika wapo utakuwa muhimili. Au unatolewa huko unapewa ujaji na waliokupa ujaji wapo na ndo wanakupa posho, utakuwa muhimili kweli!?Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?
Je hii haidhihirishe maneno ya watu waliokuwa wanasema kuwa Prof. Ibrahim Juma na mhimili wake wamewekwa mfukoni mwa executive branch?
Hata aibu hakuna!
Ni juzi tu kastaafu, halafu leo kateiliiwa tena Rais yule yule. Ama kweli Watanzania wamefanywa kama mazezeta vile🤣🤣🤣
Hata kiinua mgongo hajachukua! Tanzania yetu hii Jana!Watu wengi wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kitendo cha Rais Samia kumteua Prof. Ibrahim Juma aliyekuwa Jaji Mkuu wa Mhimili wa Mahakama aliyestaafu juzi tu kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha UDOM. Je, kwa kitendo hicho kuwapi dhana ya separation of power ya mihimili ya dola?