Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss hakosei hata akiiteua maiti?Boss una mawazo mazuri sana: Ila nakukumbusha uzingatie hizi principle mbili,
1:Boss hakosei
2:Endapo boss akikosea rejea principle namba 1.
Kwahiyo hao ndg zetu wanaweza kupoteza vyote kwa pamoja. Mfano tu mdogo mimi nimpe kazi ya kufanya mwanangu halafu akatae aniambie mimi hiyo kazi sitaki nina kazi nyingine na wakati huo kazi zote ziko chini ya mamlaka yangu, sitakubali, huo ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu
Inashangaza kwamba rais hafanyi mazungumzo na watu kabla ya kuwapa nyadhifa mbali mbali! Kwanini umshtukize mtu uwaziri kabla ya kuongea naye kuona kama yupo tayari au hapana? Tunalalamika suala la kukosekana uhuru Tanzania ndio mambo kama hayo sasa. Tuache kulazimisha mambo. Mbowe aungwe mkono katiba mpya ipatikane mapema.Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua.
Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo?
Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka ya Uteuzi.
Itoshe kusema watu hawa kama ni kweli wapo hawana chembe ya uzalendo hata kidogo, umetumwa ukawatumikie Watanzania ukiwakilisha Mamlaka ya Uteuzi unakataa na bado unataka uendelee kwenye nafasi yako ya sasa?
Kuna mambo yanatakiwa kutiliwa shaka kwa watu hawa ikiwa ni pamoja na
1. Yawezekana nafasi walizopo sasa kuna maovu mengi wamefanya hivyo wanaogopa kuachia ghafla mengi yataibuka.
2. Yawezekana kile wanacholipwa ni kikubwa sanaa kuliko wanavyostahili, Wote tunajua Waajiri wao ni Wanachama. Je Wanacholipwa kama Mshara na Stahiki nyingine zinalingana na Waajiri wao?
3. Waajiri wa hawa watu (Wanachama) Je, ni kweli wanawapima utendaji wao kwa Maana ya Investment zinazofanyika chini ya Chama Chenu? Tutakuwa na Michango isiyokoomaa au tutafute uwezekezaji wenye tija na tupunguze michango?
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2501128
Mkuu,Inashangaza kwamba rais hafanyi mazungumzo na watu kabla ya kuwapa nyadhifa mbali mbali! Kwanini umshtukize mtu uwaziri kabla ya kuongea naye kuona kama yupo tayari au hapana? Tunalalamika suala la kukosekana uhuru Tanzania ndio mambo kama hayo sasa. Tuache kulazimisha mambo. Mbowe aungwe mkono katiba mpya ipatikane mapema.
mkuu inasikitisha ila unaonekana umeweka imani yako na future yako kwa Gov sana...but maisha ni zaidi ya kufanya kazi Gov..siku ukitoka kwenye hilo gereza utaona life is full of enjoyable things kuliko kuwaza ajira na teuzi za Gov.Sekta binafsi mna tambo
Utadhani huko boss wako hawezi kukupangia kituo
Afadhali, daah.Siyo lazima kila kitu kukubali...
Comrade Chawa Lucas Mwashambwa [emoji1787]Hizi nafasi Lucas mwashambwa analia usiku na mchana azipate, halafu wengine wanazikataa. Aisee kweli dunia kigeugeu
Hii ndio sababu kubwa, wanachezea sana 2% ya contribution ya waalimu; kuna ubadhirifu mkubwa sana upo chini ya uongozi wa hao watu.....sijui vyombo vya usalama viko wapi kujua hilo, in anyhow haiwezekani watu wa kutoka sehemu moja wote wagomee uteuzi......impossible something very wrong!!!1. Yawezekana nafasi walizopo sasa kuna maovu mengi wamefanya hivyo wanaogopa kuachia ghafla mengi yataibuka.
Milioni nne hazifiki kabisaMshahara wa milioni 4 na kutokuwa na uhakika na cheo Vs Mshahara M 7.8 na uhakika wa cheo utaenda wapi?
UZI WA CHAWA WA MAMAKama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua.
Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo?
Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka ya Uteuzi.
Itoshe kusema watu hawa kama ni kweli wapo hawana chembe ya uzalendo hata kidogo, umetumwa ukawatumikie Watanzania ukiwakilisha Mamlaka ya Uteuzi unakataa na bado unataka uendelee kwenye nafasi yako ya sasa?
Kuna mambo yanatakiwa kutiliwa shaka kwa watu hawa ikiwa ni pamoja na
1. Yawezekana nafasi walizopo sasa kuna maovu mengi wamefanya hivyo wanaogopa kuachia ghafla mengi yataibuka.
2. Yawezekana kile wanacholipwa ni kikubwa sanaa kuliko wanavyostahili, Wote tunajua Waajiri wao ni Wanachama. Je Wanacholipwa kama Mshara na Stahiki nyingine zinalingana na Waajiri wao?
3. Waajiri wa hawa watu (Wanachama) Je, ni kweli wanawapima utendaji wao kwa Maana ya Investment zinazofanyika chini ya Chama Chenu? Tutakuwa na Michango isiyokoomaa au tutafute uwezekezaji wenye tija na tupunguze michango?
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2501128
Kabisa! Rais aache kufikiri kuwapa watu vyeo ni kuwapa chakula au kuwainua kimapato. Kuna watu hawahitaji hayo mambo. Sio kila mtu anapenda cheo!Mkuu,
Hili ni jambo la msingi, msingi, msingi kabisa.
Kwa nini Watanzania wengi wanalichukulia poa poa tu?
A simple phonecall kumjulia hali mteule na kumuuliza kama atakubali uteuzi ingemuonesha courtesy mteule, na ingemuondolea aibu ya kukataliwa publicly rais.
Ikulu imeshindwa hata hili?
Kabla hujametua mtu wasiliana nae kwanzaKama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua.
Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo?
Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka ya Uteuzi.
Itoshe kusema watu hawa kama ni kweli wapo hawana chembe ya uzalendo hata kidogo, umetumwa ukawatumikie Watanzania ukiwakilisha Mamlaka ya Uteuzi unakataa na bado unataka uendelee kwenye nafasi yako ya sasa?
Kuna mambo yanatakiwa kutiliwa shaka kwa watu hawa ikiwa ni pamoja na
1. Yawezekana nafasi walizopo sasa kuna maovu mengi wamefanya hivyo wanaogopa kuachia ghafla mengi yataibuka.
2. Yawezekana kile wanacholipwa ni kikubwa sanaa kuliko wanavyostahili, Wote tunajua Waajiri wao ni Wanachama. Je Wanacholipwa kama Mshara na Stahiki nyingine zinalingana na Waajiri wao?
3. Waajiri wa hawa watu (Wanachama) Je, ni kweli wanawapima utendaji wao kwa Maana ya Investment zinazofanyika chini ya Chama Chenu? Tutakuwa na Michango isiyokoomaa au tutafute uwezekezaji wenye tija na tupunguze michango?
Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
View attachment 2501128
Hapana. Ni mazungumzo ya kawaida tu.Naona mmemcharua Kiranga, amechafukwa hatari!
Naam mkuu.Kabla hujametua mtu wasiliana nae kwanza
Nimecheka sana ulipoandika "utovu wa nidhamu wameanza ikulu kwa kuwatangaza watu kwenye teuzi bila hata ya kuwasiliana nao"Hapana. Ni mazungumzo ya kawaida tu.
Ulofa ni matatizo sana.
Mimi nimeanza kuranda corridors za Ikulu tangu nipo tumboni mwa mama yangu.
Enzi za Joan Wicken na Julius Kaizari mwenyewe.
Enzi hizo ukipewa uteuzi wa Ikulu, mpaka mjumbe wako wa nyumba kumi anakuandikia barua ya kuelezea tabia yako mtaani. Faili lazima lipitiwe na vijana wa kazi maalum wa Dr. Mahiga.
Leo nashangaa Ikulu standards zimeshuka kuliko ligi ya mchangani.
Mimi nafikiri hawa watu wa Ikulu, na rais, si wajinga kabisa. Ingawa wana ujinga fulani hivi.Nimecheka sana ulipoandika "utovu wa nidhamu wameanza ikulu kwa kuwatangaza watu kwenye teuzi bila hata ya kuwasiliana nao"
Nikacheka tena uliposema kuwa je kama mtu anaichukulia serikali iliyopo kuwa si ya halali?"
Yote kwa yote jamani anayoyaandika Kiranga ni ya kweli sana ukiyatafakari mfano swala la mtu kukataa tunaweza kuingiza tafsiri ya bwana Kiranga hapo kwamba haikubali serikali iliyomteua ndomana amekataa, na yet kwanini serikali iteue mtu ambae hakubaliani na serikali hiyo, ina maana hawakumjua mapema?
Hilo la kuwasiliana, kwakuwa uteuzi ni mchakato na unahusisha watu wengi (si raisi peke yake) basi baadhi yao wawe wanachukua jukumu la kuwasiliana na mteuliwa ili ajue kama anakataa aseme ili ateuliwe mwingine na kama anakubali aanze kujipanga kwa maisha mapya. Tena katika hili Kuna waliotolea mifano kwa mwalimu na mwajiri wake (yaani DED) kwamba eti mkataba unasema "na majukumu mengine atakayopangiwa na mwajiri". Well hatukatai lakini walimu wenyewe mashahidi zile barua za teuzi zinakuwaga Siri kiasi kwamba hata muda mwingine wakuu wako wa kazi wanachelewa kujua (hasa mwalimu mkuu) na ukishapewa Kuna siku unapewa za maandalizi mpaka tarehe fulani, hapo kwenye hizo siku tumeshuhudia walimu mara kadhaa wakiitwa halmashauri kwa kukataa uteuzi japo wamepata tabu sana lakini kazi zao wanazo na wengine walipata teuzi kwa muda walipokuwa tayari kuzikubali.
Una hoja muhimu na kimsingi nakubaliana na wewe ila tukumbuke mambo kadhaa wakati tunalitafakai hili:Hapana. Ni mazungumzo ya kawaida tu.