Kuthibitisha kosa la wizi mahakamani

Kuthibitisha kosa la wizi mahakamani

kama umekutikana na upungufu wa lita za mafuta na ukasimamishwa
bora ukubali yaishe
haya Makampuni ya watu binafsi si serikali imekuajiri na kukuwekea mafao hapo ndipo unaweza ishinda lakini sio Mkinga au Mchagga watakumaliza
ulichochuma kimbia nacho hao si waarabu wau wahindi watakumaliza
Hakuna loss yeyote kk
 
Jamani anasema hajaiba mbona tunamgeuza kama samaki kibua. Yeye hajaiba arelax. Sometime waajiri wanatafuta kukutoa kwa kukutafutia kosa maana wanajua hawana mikataba mizuri ya ajiri na yule dogo juzi kawalamba mil 5 wengine kwa kutotoa mikataba ya ajira
Kimsingi Yeye anayekutuhimu ndiye anayetakiwa kuthibitisha pasipo shaka dai lake kuwa umeiba
 
Nashukuru sana
 
Write your reply...Km ni kweli umeiba basi anaoushahid wa kutosha na huenda ndio maana anajiamini kukuachisha kazi.so kuwa makini
 
Back
Top Bottom