Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

Kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa online RITA

Murashani GALACTICO

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,511
Reaction score
5,390
Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado?

Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account inashindikana.
 
Back
Top Bottom