Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

Hili la machinga limeshaisha ndugu kapange fremu ,machinga wameondolewa na Serikali ambapo kuna wachumi zaidi yako.
Mimi na umachinga wapi na wapi wakati tza ni tajiri na raslimali tele,njoo tufukue madini utajiri nje nje
 
Ni kawaida ya mtu akitaka kujustify hoja yake, kuongea hayo, je na mimi nikisema kuna duka lilikuwa limebanwa kweli na wamachinga sehemu hata ya kuingilia lakini baada ya machinga kuondolewa sasa anauza balaaa!!!kwani wamepigwa marufuku kufanya biashara?ni jambo la mpito tu watakubaliana na hali tu na maisha yataenda tu kama kawaida
 
Biscuit,maji,juice,ngano,mikate,maandazi,ice cream,vinaingiza hela nyingi Sana kwa siku
Mkuu kwani wamepigwa marufuku kufanya biashara?kwani unavyotetea hoja zako ni kama kwamba wameambiwa hivyo wanavyouza ni halamu!!!vitu sio haramu bali maeneo wanayouzia ndio haramu
 
Mkuu kwani wamepigwa marufuku kufanya biashara?kwani unavyotetea hoja zako ni kama kwamba wameambiwa hivyo wanavyouza ni halamu!!!vitu sio haramu bali maeneo wanayouzia ndio haramu
Huwezi mtenganisha machinga na stand,KILA penye stand yafaa machinga watengenezewe mazingira.
Ili mtu akitoka ofisini akipanda daladala au akishuka anapata atakacho.Pili machinga na bodaboda ni matokeo ya kushindwa kwa sera za ccm kuhusu uchumi na ajira.
Mda wa kuwa bize kupambana na Mbowe ambae sio tishio wala ndo matatizo ya watz wangeutumia kuwaza jinsi ya kuzitumia raslimali tele zilizojaa Ili zitatue shida ya ajira.
Mfano ni aibu kwa maji ya mito kumwagika bahari yapotee bure inatakiwa yaishie mashambani.
Check wenzetu wanavyotumia mito yao kuinua uchumi wao.
Mfano mto Ruvu ilifaa pande zote ni scheme za umwagaliaji na uzalishaji wa min hydropower zinazosukuma viwanda vya mazao ya kilimo watu wakiwa na ajira Hakuna atakayependa pigwa vumbi mjini kusubiria elf 2 ya umachinga au bodaboda.
Soko la mazao ya kilimo ni kubwa sana china.
Check Kenya asubui mboga na matunda uchumwa jioni upelekwa jomo kenyatta afajiri mzigo unafika ulaya unasambazwa supermarket za nchi mbalimbali za ulaya.
Sisi tunashindwa nn.
 
hio mzee wa kaz wakisimama tu j wee wala hawaongei.kkil mtu atafafuta pa kupitamo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itapendeza sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 

Ndivyo inavyotakiwa kufanya ,hao bila kupiga kama unapiga nyoka watasumbua,dawa yao ni kutengua viuno na kuvunja miguu ndiyo wataondoka,ukiwaambia kistaarabu hawatoki.
 
Yaani mkuu wa mkoa akitumia mbinu hii atapiga gori zuri sana.

Sent from my G3311 using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni mbinu za kimedani
 
Nashauri neno 'kutimuliwa' lisitumike maana linaleta hali fulani ya kama uhasama na kutojali hivi. Nashauri 'kupangwa upya' au linalofanana na hilo litumike. Hawajatolewa bila kuonyeshwa maeneo mengine ya kwenda
Nikajua ungesema kutupiwa virago
 
Mada yako iko supported na weak fundamentals..

Bado hujaniambia ni kwa namna gani hii sera ya kuwatimua wamachinga itaongeza uchumi..

Kafanye research upya
Hahaaa hilo jina lako!!!! Hongera. Hivi wewe ni mbantu me au ke
 
Hivi hii operation ni kwa nchi nzima au vipi na jee nisehemu za mijini tuu au namaeneo mengine kama wilayani huko or??? Mwenye kufahamu juu ya hili lakuhamishwa kwa machinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…