Kutiwa nguvuni Mbowe isiwe sababu ya kukata tamaa. Tujipange tuwe na CHADEMA isiyokuwa mali ya watu

Naomba usitake nikutukane! Nakusihi sana, sijawahi kukuona ukizungumzia mambo ya Tozo, kupanda hovyo kwa bei za vitu, kila siku unawashwawashwa tu na Freeman.
Bei za tozo wakati zinawasilishwa wewe ulikuwa umeungana na kina Lisu kusaini petition ya kumtoa mond kwenye tuzo za bet..

Sasa hivi imekuwa sheria ndio unajifanya kustuka
 
Achana nae huyo ndio mtaji wa Mbowe huyo
Ana afadhali huyo ambaye mtaji wake ni binadamu anayeishi,kuliko yule ambaye anafuata mawazo ya mzimu uliyokwisha lala kaburini tangia march ambao hata kazi ndogo ya kuamka na kuongea haiwezi 🤣 🤣 🤣
 
Ana afadhali huyo ambaye mtaji wake ni binadamu anayeishi,kuliko yule ambaye anafuata mawazo ya mzimu uliyokwisha lala kaburini tangia march ambao hata kazi ndogo ya kuamka na kuongea haiwezi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]Wafuasi wa gaidi mna kazi sana
 
Bei za tozo wakati zinawasilishwa wewe ulikuwa umeungana na kina Lisu kusaini petition ya kumtoa mond kwenye tuzo za bet..

Sasa hivi imekuwa sheria ndio unajifanya kustuka
Yes, kwakua sina Mbunge Bungeni, hilo ni jukumu la CCM 100% ulitaka niandamane? Acheni ujinga bebeni mzigo wenu wa aibu wenyewe
 
Basi uache kulalamika kuhusu tozo!

Hili kinawahusu ccm tu
 
Wewe ni mhuni tu! Wewe ni Mpuuzi! Huwa sibishani na Wapuuzi kama wewe
Basi nenda kabishane na magaidi wenzio kule, kesi inaanza kesho.
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama.

Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu.

My take: Sidhani kama chuo cha Mtei political academy kina umuhimu kwa muktadha wa chama chetu. Mwamba ni mbinafsi sana.
Una akili Sana,ingawa zinakutosha wewe tu.
 
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama.

Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu.

My take: Sidhani kama chuo cha Mtei political academy kina umuhimu kwa muktadha wa chama chetu. Mwamba ni mbinafsi sana.
Tuondolee ukhanithi wako wa kiccm hapa
 
Huitakii mema nchi hii.
 
Habari za Katiba mpya zine ishiwa wapi[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Yes, kwakua sina Mbunge Bungeni, hilo ni jukumu la CCM 100% ulitaka niandamane? Acheni ujinga bebeni mzigo wenu wa aibu wenyewe
For the first time ndo leo nimekutana na mtu aliyekuwa verified mwenye akili sawasawa.Keep it up
 
Back
Top Bottom