Kutiwa nguvuni Mbowe isiwe sababu ya kukata tamaa. Tujipange tuwe na CHADEMA isiyokuwa mali ya watu

Kabisa mkuu!

Siyo mtu anajitolea kumchallenge mwenyekiti kwenye chama alafu anaambiwa sumu haionjwi kwa kuramba!
Kamuulize kwanza Makamu Mwenyekiti wa huko kwenu
1. Hivi alifanya kosa gani?
2.Je alionja au alilishwa mkorogo?
Ahsante kwa ushirikiano.
 
Ana afadhali huyo ambaye mtaji wake ni binadamu anayeishi,kuliko yule ambaye anafuata mawazo ya mzimu uliyokwisha lala kaburini tangia march ambao hata kazi ndogo ya kuamka na kuongea haiwezi 🤣 🤣 🤣
MZIMU WA WATU WA KALE
 
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama.

Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu.

My take: Sidhani kama chuo cha Mtei political academy kina umuhimu kwa muktadha wa chama chetu. Mwamba ni mbinafsi sana.

Nimecheka kwa nguvu, kweli ccm wamewapa kazi vichwa maji, hata kuigiza hupatii.
 
Kamuulize kwanza Makamu Mwenyekiti wa huko kwenu
1. Hivi alifanya kosa gani?
2.Je alionja au alilishwa mkorogo?
Ahsante kwa ushirikiano.
Kwa hiyo sisi chadema hatuna tofauti na hawa wenzetu wa ccm!
 
Kaz
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama.

Sasa Chairman yupo kunyavu. Kila kitu kipo likizo. Tusikate tamaa tuabadili mfumo wa Chama chetu.

My take: Sidhani kama chuo cha Mtei political academy kina umuhimu kwa muktadha wa chama chetu. Mwamba ni mbinafsi sana.
kazi iendelee
 
Back
Top Bottom