Kutoa Makovu mwilini

Kutoa Makovu mwilini

mydear...has been a year almost.. Tangu nilete hii story..
Nilikuwa na kovu sehemu flan niliungua na uji utotoni pia na vikovu kutokana na zile tetekuwanga za utotoni,ive been using bio oil and now zote zimefutika,and nipo kama sikuwah kuwa na kovu !
Sikuwa na kovu usoni ila nilikuwa natumia kuanzia usoni napaka usiku na asubuhi pamoja na lotion ya kawaida every other day!
I feel comfy now and looking natural soft and glowing.
Thanx dude,
jf daima.

Thanks chimamy kwa ushuhuda huu, acha niitafute hiyo bio oil, na mie nina vikovu vya hapa na pale, ubarikiwe.
 
0766666969 tumia hiyo kwa kupiga na 0789410305kwa whatsup pekeee. kama unamatatizo ya chunusi ama madoa, weusi kuzunguka macho, michirizi kuungua na cream au jua. Makovu ya vidonda na kuungua moto.

NB..namba kwa ajili ya biashara pekee!!!!!

Kwa faida ya wengne naomba unielezee bidhaa gani unatoa na zina content gani
E.g kojic acid soap ina kojic acid ambayo niliweza kuresearch na kujua inafanya vipo kazi nikaona na user reviews na nikaja kufanya final judgement.

Kama bidhaa yako itakuwa na content ambayo itanisaidia it will be easier kukutafuta.
Samahan kama nimekukwaA
 
Back
Top Bottom