Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
mydear...has been a year almost.. Tangu nilete hii story..
Nilikuwa na kovu sehemu flan niliungua na uji utotoni pia na vikovu kutokana na zile tetekuwanga za utotoni,ive been using bio oil and now zote zimefutika,and nipo kama sikuwah kuwa na kovu !
Sikuwa na kovu usoni ila nilikuwa natumia kuanzia usoni napaka usiku na asubuhi pamoja na lotion ya kawaida every other day!
I feel comfy now and looking natural soft and glowing.
Thanx dude,
jf daima.
Thanks chimamy kwa ushuhuda huu, acha niitafute hiyo bio oil, na mie nina vikovu vya hapa na pale, ubarikiwe.