Kutoa mimba

Kutoa mimba

kombo mzalendo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
118
Reaction score
11
je kuna madhara yeyote au uhatarishi ukitoa mimba yenye mwezi mmoja..na je mimba inakua hatari zaidi kutolewa inapokua na miezi mingapi.
nahitaji kufahamishwa tafadhali
 
Kuna sababu zozote za kiafya zinazoilazimu mimba itolewe? Maana watu wasijetoa ushauri kumbe kinataka kuawa kiumbe bila hatia.
 
ni hatari zaidi inapokua na umri wa wiki 2 mpaka miezi 5,subiri ikiwa na miez 7 mpaka 9 ndio inakua rahisi kuitoa
 
Kwann utoe hiyo mimba?hamkujipanga kuzaa ss hv au?...ni dhambi sn kutoa usifanye hv waweza hatarisha maisha yake.
 
Ikifika miezi tisa(9)ndo yafaa toa, zaidi ya hapo nehii,tena ikifika hiyo miezi 9 mgodi unatema wenyewe
 
Kama huna la kumjibu pita kimya, hajaomba ushauri ila kauliza madhara
 
Ikifika miezi tisa ioatoka yenyewe...
Usiogope
 
je kuna madhara yeyote au uhatarishi ukitoa mimba yenye mwezi mmoja..na je mimba inakua hatari zaidi kutolewa inapokua na miezi mingapi.
nahitaji kufahamishwa tafadhali

Ukitoa mimba, utaitwa 'mama wa maiti" au " mama wa marehemu" na sio msichana asiye na mtoto
 
Mimba ni hatari sana ikitolewa katika umri wowote hasa ikitolewa katika mazingira mabovu na ma dr vishoka. Madhara ni pamoja na kutokwa damu nyingi, maambukizi katika mfumo wa uzazi na mwili wote kwa ujumla, kuchanika mfuko wa uzazi, ugumba na kifo. Mshauri lafiki yako huyo aache.
 
je kuna madhara yeyote au uhatarishi ukitoa mimba yenye mwezi mmoja..na je mimba inakua hatari zaidi kutolewa inapokua na miezi mingapi.
nahitaji kufahamishwa tafadhali

How i wish na wewe ungetolewaga miaka hiyo na mama yako.
 
Kutoa mimba kuna hatari mimba ikitolewa kwa njia siziso sahii au mtu asiyekua na ujuzi pia mimba inakua hatarishi ikizidi miezi mitatu ila kwa muda wa wiki mpaka miez mitatu haiwi na madhara sana ila kuanzia miez minne inakua katika madhara...lakini kama una hitaji kutoa mimba kwa usalama ni vizuri ukaenda hospitali kwa usalama zaidi usithubutu kutoa kwa kutumia dawa za kienyeji madhara makubwa,kama ni miezi mitatu kushuka chini nenda phamacy na kama n minne kwenda juu nenda hospitali kwa usalama zaid.
 
Back
Top Bottom