Niaje pande hizi wakuu? Bana me mgeni kidogo kwenye haya maswala na nilitaka kufahamu jambo kuhusu Payoneer, Ni kiasi cha muda gani inatumia mpaka pesa kukufikia ukiwithdraw direct kutoka payoneer kwenda Local Bank? Nimetumia CRDB, Nimewithdraw Jumanne ila hadi leo Jumatano bado haijafika