Kutoa Zawadi Kwa Mtu 'Unprofessional' Hadharani ni ku 'demoralize' wale 'Professionals’' walioko

Kutoa Zawadi Kwa Mtu 'Unprofessional' Hadharani ni ku 'demoralize' wale 'Professionals’' walioko

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo.

Watu wenye akili wangelifanya hili kisiri Ili kutoonyesha kuwa wenye Fani yao si Mali Kitu (Watu Goi Goi) tupu ili kutomjengea Kinyongo Mzawadiwa wa Taifa kutoka kwa wale atakaowakuta baada ya kupewa Ajira na akirejea kutoka Kozi atakayotakiwa kwenda Kujifanya.

Kazi yangu Kuu hapa ni Kushauri tu!!
 
Lakini mkuu hao professionals once walikuwa unprofessionals.

Na hili sio jipya duniani labda Tanzania. Sehemu nyingi tu watu kama Majaliwa wanakuwa recruited kwenye respective fields.
 
Mfano mkubwa ni Ufaransa, raia aliokoa maisha ya mtoto ambaye alikuwa ananing'inia ghorofani, huyo jamaa akapewa jina la Spiderman. Baadaye rais wa France" Macron" alitangaza kwamba jamaa apewe kazi kwenye jeshi la zimamoto.
 
Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo...
Sasa Genta, hao proffessional walifanya lipi la maana? Hawakuthamin uhai wa watu. Labda wangekuwepo wangeokolewa wengi😭
 
Ofcoz umenena vyema ila Professional walikuja na kukaa ufukweni kutazama. Hapo cha kufanyika ni kupangiwa kituo kingine sio lazima huko bk
 
Mfano mkubwa ni Ufaransa, raia aliokoa maisha ya mtoto ambaye alikuwa ananing'inia ghorofani, huyo jamaa akapewa jina la Spiderman. Baadaye rais wa France" Macron" alitangaza kwamba jamaa apewe kazi kwenye jeshi la zimamoto.
Kama kila Kitu cha Wazungu ( Ulaya ) tunakiiga / tunawaiga ni kwanini sasa hatuigi na Akili zao Kubwa ( Intelligence ) na tumebakia tu na Upang'ang'a ( Upumbavu ) Wetu uliotutuka?
 
Lakini mkuu hao professionals once walikuwa unprofessionals.

Na hili sio jipya duniani labda Tanzania. Sehemu nyingi tu watu kama Majaliwa wanakuwa recruited kwenye respective fields.
Mkumbushe na yule jamaa alieokoa mtoto aliekua ananing'inia ghorofani kule Ufaransa
Alikuwa rewarded hadharani na kua recruited
Huko ni Ufaransa, itakua sisi
 
Kama kila Kitu cha Wazungu ( Ulaya ) tunakiiga / tunawaiga ni kwanini sasa hatuigi na Akili zao Kubwa ( Intelligence ) na tumebakia tu na Upang'ang'a ( Upumbavu ) Wetu uliotutuka?
Akili zao tunaiga ila tunaiga kwa kusema sisi watanzania tuna akili kubwa (theoretically).

Vijana intelligent wapo ila waloshika nchi ndo vilaza.
 
Mkumbushe na yule jamaa alieokoa mtoto aliekua ananing'inia ghorofani kule Ufaransa
Alikuwa rewarded hadharani na kua recruited
Huko ni Ufaransa, itakua sisi
Tena alitangaza mapema tu kabla hata siku haijaisha.
 
Back
Top Bottom