GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa Genta, hao proffessional walifanya lipi la maana? Hawakuthamin uhai wa watu. Labda wangekuwepo wangeokolewa wengi😭Hili Kosa msije mkalirudia tena kwani lina Madhara makubwa kwa Mzawadiwa na Watendaji Wahusika atakaowakuta na Ufanisi mzima kwa Maafa yajayo...
Kama kila Kitu cha Wazungu ( Ulaya ) tunakiiga / tunawaiga ni kwanini sasa hatuigi na Akili zao Kubwa ( Intelligence ) na tumebakia tu na Upang'ang'a ( Upumbavu ) Wetu uliotutuka?Mfano mkubwa ni Ufaransa, raia aliokoa maisha ya mtoto ambaye alikuwa ananing'inia ghorofani, huyo jamaa akapewa jina la Spiderman. Baadaye rais wa France" Macron" alitangaza kwamba jamaa apewe kazi kwenye jeshi la zimamoto.
Mkumbushe na yule jamaa alieokoa mtoto aliekua ananing'inia ghorofani kule UfaransaLakini mkuu hao professionals once walikuwa unprofessionals.
Na hili sio jipya duniani labda Tanzania. Sehemu nyingi tu watu kama Majaliwa wanakuwa recruited kwenye respective fields.
Akili zao tunaiga ila tunaiga kwa kusema sisi watanzania tuna akili kubwa (theoretically).Kama kila Kitu cha Wazungu ( Ulaya ) tunakiiga / tunawaiga ni kwanini sasa hatuigi na Akili zao Kubwa ( Intelligence ) na tumebakia tu na Upang'ang'a ( Upumbavu ) Wetu uliotutuka?
Tena alitangaza mapema tu kabla hata siku haijaisha.Mkumbushe na yule jamaa alieokoa mtoto aliekua ananing'inia ghorofani kule Ufaransa
Alikuwa rewarded hadharani na kua recruited
Huko ni Ufaransa, itakua sisi
Pang'ang'a ( Nut) kama Wewe huwezi Kunielewa.Hujaeleweka bado[emoji848]