Kutoana kafara kwenye familia, na Siri ya wazazi wetu

Nakumbuka Maneno Baba yako alipokuambia mwanzo wa ugomvi, yalikuwa ya maana, ungeshamuacha ungeepusha mambo mengi, Baba yangu aliniambia maneno kama hayo nikiwa na miaka 35, sikusikia, nilikuja kuacha mke nikiwa na about 50 kwa maumivu, kejeli, na hasara kubwa sana
 
Kwa asie mjua Jack Daniel atapata tabu na simulizi zake tunao mjua tushazoea uzuri wake hajawahi kuacha kumalizia simulizi zake zote anamaliza hata kama itachukua miezi ni kufatilia au kuachana nae usome simulizi zingine usubiri amalize ndo usome ili usipate arosto.
 
Hii inaisha on time ni mambo tu yanabana
 
Sehemu ya kumi na mbili

Wakati naangalia huku na huku nikitafuta usafiri wa kunifikisha sehemu husika ,wapo vijana madereva wa bajaji waliniuliza naenda wapi ,nikawajibu huku nikishindwa kutambuq bei kama ni halali au siyo kwakuwa sikuwa mwenyeji wa sehemu hiyo.

Nikajikuta naingia kwenye ile bajaji,
Ghafla nakutana na Moses,mtu ambaye nimetoka kuachana naye kivukoni muda si mrefu.

Heeey bro vipi inawezeka tunaenda sehemu .aliniuliza Moses huku akisogea vizuri ili tukae wote vizuri.

Inawezekana,lakini hivi hakuna Magari mpaka bajaji? Na bei ya elfu kumi ni sahihi kweli kaka?
Niliuliza.

Ni bei rafiki tu mbona Kwa umbali wenyewe ni miles nyingi kama unafika ninapoenda Mimi.alijibu Moses

Ok,sawa Kaka hata hivyo siyo mbaya nimepata usafiri mapema..
Wakati huo Moses,alikuwa akibrowse Sana na simu yake iPhone 13 promax. yaani licha ya kupiga stori lakini hakuacha kuperuzi.

Lakini pia simu yake nyingine sawa na ile ile alikuwa akipigiwa Sana,Kwa muda mfupi niligundua ni mtu fulani si choka mbaya.kwani muonekano wake , haircut,mpangilio wa mavazi al nadhifu na hata ongea yake,haikuwa ya kanda ya ziwa alisound kibrazamen mno.

Na Mimi nikatoa Samsung yangu ili nisiwe nyuma lakini haikuweza kufua dafu,Nikacheka kimoyomoyo,ndiyo maana mwanangu alihitaji nibadili simu but Mimi siyo chizi simu Kwa yeyote natumia.

But tulifika sehemu fulani Moses akadai anashuka na kupotelea,huku nikijilaumu why sikuchukua namba ya Yule mjuba,ambaye viunga vya kule anaonesha kuvijua?............

Sasa endelea.........................

Maisha hayakupi unachotaka,maisha yanakupa unachostahili,huenda ni kweli,

Je,Mimi nastahili mateso?
Yaani nastahili kuishi peke yangu bila kipenzi changu Zawadi?

Ni kipi sijatimiza Kwa Zawadi?

Mimi siyo mzuri?mbona Zawadi mwenyewe tangu kipindi cha uchumba hakuisha kunisifia? Tall,dark , handsome kinoma,si yeye tu Nina ushahidi hata wasichana,wamama watu wazima wananitaka hadi Leo hii?hapana kuna Jambo,

Au tuseme kipato?
Ni sahihi Mimi Nina kipato cha chini kabisa lakini mbona nimemuoa Zawadi Kwenye familia ya chini pia,laiti angekuwa kwao matajiri huenda ningepata majibu.

Nina kibanda tayari (nyumba) tunakula vizuri tu si mbaya,akiba ninayo,akiumwa anatibiwa, mke wangu Zawadi anataka nini?

Lakini mbona Zawadi kama ananipenda?
Licha ya kuzozana mara kadhaa haoneshi kunichukia?

Moses alijiuliza maswali mengi usiku ule huku akilala bila majibu.

Kama kawaida,kama ada siku nyingine mpya Kwa Moses iliwadia.siku isiyojali wewe nini hujakitimiza yenyewe inageuka na kuja na jina jingine haijalishi umejipanga au hujajipanga.

Moses hakupoteza muda ,alikuwa kwenye bajaji akielekea Kwa akina Zawadi Kwa lengo moja tu kumchukua mke wake.

Lakini akapata akili mpya kwamba Dunia imebadilika kuanzisha fujo ni kutafuta matatizo zaidi, akaona apitie Kwa mjumbe ili kupata kibali ama ruhusa maalum.

*******************************
Umesema unaitwa Nani kijana?
aliuliza mjumbe wa mtaa ambaye ni Mzee lakini bado alikuwa na masihara mengi kama vile kijana lakini ni mwenye maamuzi ya Busara.

Naitwa Moses (akitaja majina kamili)
Naishi kijiji cha jirani ni kilomita kadhaa tu kutoka kijiji hiki hata hivyo Mzee wangu ni maarufu mbona ana ng'ombe,hata kijiji hiki pia.alifafanua Moses.

Aaaaargh nishajua, nishakuelewa.
Wewe ni mdogo Sana Mzee wako namjua vizuri na baadhi ya Kaka zako nawajua ila wewe ulikuwa mdogo Sana ndiyo maana nikakusahau.eenh niambie kijana Una shida gani? mjumbe aliuliza.

Mzee,ni siku kadhaa nyuma tulikwazana na mke wangu ,ambapo alikimbilia Kwa wazazi wake ambao wapo jirani kabisa na nyumba yako...........kabla hajamalizia maelezo Moses yule Mzee akadakia...

Wewe ndiye umemuoa binti aitwaye Zawadi,na nasikia anakusumbua sana.aliuliza mjumbe.

Yes ,ni huyohuyo Mzee wangu nahitaji arudi tuishi kama zamani ,nisaidie Mzee nashindwa kufanya shughuli zangu nyingi kwasababu yake.alijieleza Moses.

Ok sawa,Zawadi ni mke wako halali wa ndoa,na ni kosa kubwa wazazi kumpokea binti ambaye yupo kwenye ndoa bila maelezo kamili, zipo sababu zinaweza kusababisha ukampokea kama vile ,kupiga,kutishiwa,na matatizo mengine kama hayo,ila kama ni tofauti ndogo za ulimi mzazi hupaswi kumpokea mwanao isipokuwa Kwa sababu maalum.mjumbe alifafanua huku Moses akifurahi.

Taratibu za kabila letu,dini yetu hata katiba ya nchi,inamtaka mwanandoa yeyote aheshimu ndoa na misingi yake.kinyume na hapo atakuwa yupo mbioni kuvunja ndoa yake. Na Mimi niwe mkweli mwanamke akinidharau tu,ni kumuacha mara moja kwani waswahili wanasema usipoziba Ufa utajenga ukuta.mjumbe alipigilia msumari huku Kwa namna fulani akiwa anamkwaza Moses.

Mjumbe Kwanza samahani,ina maana wewe mwanamke akionesha kukukosea tu unamuacha? aliuliza Moses.

Hapana kijana,yapo makosa yanayopelekea kuona huyu hafai,hakuna ndoa isiyo na mgogoro , ndoa nyingi watu wanavumiliana,lakini kuna vitu havivumiliki, kwasababu ukilazimisha kuishi na mtu asiye kuheshimu,utakuja kuua,utapiga na kuua au kuumiza,na mwisho wa siku utaishia gerezani sasa kijana yote hayo ya nini? Si Bora mzigo wa miba uutue? aliweka kituo Kwa mfumo wa swali Yule mjumbe.

Moses aliinamia chini asijibu chochote,aliwaza mengi,aliwaza maneno anayoambiwa na mjumbe aliona kuna ukweli,lakini je ni rahisi hivyo kumwacha mtu unayempenda,je Mimi Moses nakosea wapi,kwanini nisifanye uamuzi sahihi, Lakini namwachaje Zawadi.?Moses alijikuta anashituliwa na mjumbe Kwa kupigwa kibao cha kichwa (konzi)

Heee wewe kijana vipi, mbona kama Una mawazo Sana lakini hebu nieleze kifupi nini ulikosea hadi mwenzio anaondoka isije kuwa wewe ndiye mwenye matatizo kijana.aliuliza mjumbe.

Moses alieleza mkanda mzima tangu mwanzo mpaka mwisho,na maamuzi aliyochukua kama mwanaume na pia hasara aliyoisababisha Zawadi.

(Mjumbe akiwa kaacha mdomo wazi Kwa mshangao huku akimuita mkewe Kwa ishara ya kufumba na kufumbua kiganja)

Mke wangu maajabu hayatakaa yaishe Duniani,yaani mke akuvunjie vitu na kufanya uharibifu ndani huyo atakuwa na maana gani?mjumbe anamuuliza mkewe.

Mmmmh ,huyo ni mshari,mtu huyo ni muuaji,siku akikosa cha kuvunja si atavunja mtu,mtu huyo ni wa kukaa naye mbali hafai kuwa mke ,atakusababishia matatizo makubwa mno ohooooo.
anajibu mke wa mjumbe huku akiruhusiwa kuondoka.

Kijana,wewe Mzee wako namfahamu ni Mzee wa kutegemewa ni Mzee mwenye Busara,je haya mambo anayajua?
Na kama anajua kakupa ushauri gani .
Mjumbe alimuuliza Moses.

Mjumbe,watu wengi sana pamoja na Mzee wangu,wameshauri niachane na mke wangu,ila tatizo Mimi nampenda sana zawadi,nampenda mke wangu ,Mjumbe tafadhali fanya Jambo nimpate mke wangu.. Moses aliongea Safari Kwa sauti huku misuli ikimsisimka Kwa hasira.

Mjumbe alitulia huku akiwa kashajua kitu toka Kwa Moses,aligundua kuwa alikuwa anaongea na mtu yupo kwenye hali gani ,alijilaumu akigundua ameropoka mambo mengi bila kujua anauchoma moyo wa Moses.

Kijana kaa chini tulia Mimi nitakusaidia utampata mkeo Nina uhakika ila saizi ni asubuhi tupate kifungua kinywa Kwanza kisha tutaenda Kwa wakwe zako.
Mjumbe aliongea Kwa upole huku akichukua tahadhari maana Moses alikuwa kama Mbogo aliyejeruhiwa .

Baada ya break fast Mjumbe na Moses walikuwa kwenye uwanja wa akina Zawadi.huku wenyeji wao wakiwakuta wamejaa tele,macho ya Moses na Zawadi yaligongana,Sura zao zilibadilika,Zawadi alimkimbilia Moses na kumkumbatia pasi na aibu mbele ya wazazi wake,si mjumbe,si Baba wala mama yake Zawadi na wengineo ,watu walishangaa,nini hiki si taratibu za kabila lao ,lilikuwa Jambo la kushangaa.

Mapigo ya moyo Kwa Moses yaliongezeka alihisi kuna ushindi fulani kwenye ile hali akatulia akimwachia Zawadi,wakakaribishwa ndani wakae

Itaendelea.........
 
Mapigo ya moyo Kwa Moses yaliongezeka alihisi kuna ushindi fulani kwenye ile hali akatulia akimeachia Zawadi,wakakaribishwa ndani wakae

Itaendelea.........
Edo kissy
 
Assnte

Asante
 
Back
Top Bottom