NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha mtaji wa pesa au umaarufu wa jina wanasubiri chao, wameajiri wataalam wa kuwaendesha biashara kama mameneja, wahasibu, wanahseria, n.k., wana uhuru mkubwa wa kuwa nje ya ofisi huku wakiendelea na mambo mengine.
Shilole - mgahawa * shishi food
Ni mfano halisi wa malkia wa nguvu anaejipambania hapa mjini, Mgahawa wake umepata jina kubwa, Kaweza kufungua migahawa ya ziada kwenye majiji kama Dodoma,
Young dee - Bar * Dream city lounge
Ni moja ya kiwanja pendwa kilichopo maeneo ya Salasala, ni wazi kwa sasa bar hii inamweka young dee (ngadu) hapa mjini, ni bar ya kisasa kuna karaoke, nyama choma, vinywaji, shisha, n.k. tazama video kucheki kinavyo happen.
Billnass - Duka la simu * Nengatronics
Simu anazouza ni zile zenye brand zinazotrend majuu kama iphone, samsung, google pixel, n.k, hii ni biashara ambayo imetokea kupendwa sana na vijana wa mjini hususan wahitimu wa vyuo akiwemo Nenga, , duka lake lipo sinza kwa remmy.
Lamar fishcrab - mgahawa, car wash, ujenzi wa nyumba.
Pamoja na kutengenezea mabiti wasanii kwa laki 5 aliona pesa anayoipata ni ndogo, Lamar fish crab aliamua kuweka ustaa pembeni na kujiingiza kwenye biashara ya mgahawa, car wash na kujengea watu nyumba
Lady Jay dee - Mgahawa * Nyumbani Lounge
Malkia wa bongo fleva nae hayupo nyuma kwenye kutegemea pensheni pekee, kaamua kujiongeza