Kutoboa kwa sanaa pekee ni ngumu! Hawa ni baadhi ya wasanii walioamua kujiongeza kutafuta kipato cha ziada kwa kufanya biashara

Diamond tuseme anatumika kibiashara na broe joe
Huyo Joe ana mafanikio gani!? Acheni upuuzi, mtu anamikiki mali zinazoonekana zaidi hata ya huyo Joe lkn kwa chuki zenu mnajitia upofu!
Joe hata hiyo Clouds ana hisa kadhaa tu ila ina wanahisa wengine wengi tu ikiwa ni pamoja na wanafamilia yake (Baba na nduguze) Joe hana utajiri huo wa kumtumikisha Mondi.
 
unaamini ni vyao au !.
huyo lamaa mpaka leo yupo kwao karibu na club ya yanga.

Tusiongee mengi nyuma ya pazia
Kuishi kwao si sababu ya kutokuwa na miradi yake labda kama una sababu nyungine. Ni masikini pekee ambao huamini kuwa mtu ili aonekane kafanikiwa lazima atoke kwao! Fatilia maisha ya Wahindi na Waarabu utanielewa.
 
acha mwenyewe story za vijiweni, mimi sinaga story za vijiweni.
But you must understand that some people get business idea from vijiweni.
Unawezaje sema mtu anayemiliki zaidi ya share 40% kwenye kampuni anatumika tu kibishara!!!!?,hujui biashara weye.kuna watu wanamiliki shares 3 tu kwenye makampuni and they are rich business people.
 
Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Huo ndio ukweli, uwakute sasa wanafanya uchambuzi "uchwara", hovyo tupu. Hakuna sekta hata moja inayofanya vyema.
 
Huyo Joe ana mafanikio gani!? Acheni upuuzi, mtu anamikiki mali zinazoonekana zaidi hata ya huyo Joe lkn kwa chuki zenu mnajitia upofu!
Joe hata hiyo Clouds ana hisa kadhaa tu ila ina wanahisa wengine wengi tu ikiwa ni pamoja na wanafamilia yake (Baba na nduguze) Joe hana utajiri huo wa kumtumikisha Mondi.
Clouds ni ya Mzee Kusaga.
 
Kuishi kwao si sababu ya kutokuwa na miradi yake labda kama una sababu nyungine. Ni masikini pekee ambao huamini kuwa mtu ili aonekane kafanikiwa lazima atoke kwao! Fatilia maisha ya Wahindi na Waarabu utanielewa.
Hata Waswahili ambao ni mambo safi, mtu yard ya home ni big complex, watu mnaishi under one roof lakini kuna uwezekeno msionane labda accidentally mkikutana kwenye parking lot.
 
Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Wamepewa Billion 1 na wizara ya Sanaa na wameundiwa wizara yao,
 
Back
Top Bottom