Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha mtaji wa pesa au umaarufu wa jina wanasubiri chao, wameajiri wataalam wa kuwaendesha biashara kama mameneja, wahasibu, wanahseria, n.k., wana uhuru mkubwa wa kuwa nje ya ofisi huku wakiendelea na mambo mengine.
Shilole - mgahawa * shishi food
Ni mfano halisi wa malkia wa nguvu anaejipambania hapa mjini, Mgahawa wake umepata jina kubwa, Kaweza kufungua migahawa ya ziada kwenye majiji kama Dodoma,
Young dee - Bar * Dream city lounge
Ni moja ya kiwanja pendwa kilichopo maeneo ya Salasala, ni wazi kwa sasa bar hii inamweka young dee (ngadu) hapa mjini, ni bar ya kisasa kuna karaoke, nyama choma, vinywaji, shisha, n.k. tazama video kucheki kinavyo happen.
Your browser is not able to display this video.
Billnass - Duka la simu * Nengatronics
Simu anazouza ni zile zenye brand zinazotrend majuu kama iphone, samsung, google pixel, n.k, hii ni biashara ambayo imetokea kupendwa sana na vijana wa mjini hususan wahitimu wa vyuo akiwemo Nenga, , duka lake lipo sinza kwa remmy.
Lamar fishcrab - mgahawa, car wash, ujenzi wa nyumba.
Pamoja na kutengenezea mabiti wasanii kwa laki 5 aliona pesa anayoipata ni ndogo, Lamar fish crab aliamua kuweka ustaa pembeni na kujiingiza kwenye biashara ya mgahawa, car wash na kujengea watu nyumba
Lady Jay dee - Mgahawa * Nyumbani Lounge
Malkia wa bongo fleva nae hayupo nyuma kwenye kutegemea pensheni pekee, kaamua kujiongeza
Tatizo biashara nyingi za wasanii zinafanana na hazina ubunifu wanauzia jina tu wala sio ubora au customer care nzuri ndio maana wengi wanafeli
Manara alikuja na perfume chalii
Akaja mwana fa naye chalii
Diamond karanga chalii
Diva masamaki sijui yaani wanajua biashara ni sawa na kufanya mziki
Kati ya wote hao Mwanamuziki ni Diamond pekee, Shilole kwa muziki gani mpaka umuweke kaenye kundi la wasanii wa muziki!!!???
Kwa kuongezea wasanii wote wenye vinasaba na WCB (Diamond, Harmonize, Rayvanny, Mbosso, Zuchu n.k) ndo pekee unaweza kuyaona mafanikio yao kwa macho, hiyo ni tafsiri halisi ya usimamizi mzuri. Wanamuziki wabadilike, muziki ni biashara kama biashara nyingine, wanapaswa kuwa na wasimamizi wanaoifahamu biashara hiyo kwa kina.
Asante mtoa taarifa na pongezi kwa wasanii hao kwa wanachonya.
lakini ni wazi kwamba hii inaonesha wazi kuwa sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu, biashara kichaa kabisa mbele ya kila mwenye akili timamu. Hapo wasanii wanapata hela ya mboga tu. Hivi kweli lady jay dee kudumu kwenye industry kwa miaka zaidi ya 20 ndo wakumiliki mgahawa huo? Inasikitisha sana.
Kwahiyo kati maelfu ya wasanii maarufu waliowahi kupita kwenye kiwanda cha bongofleva ni hao tu ndio wako kwenye biashara ama hii ni sample? BTW Caz T anamiliki kiwanja gani vile?
Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
FACT.
Probably hao music artists(top creme) wakawa na mafanikio kuliko mafanikio ya watu wa sectors nyingi TZ(formal sectors & informal sectors).
Umasikini wa nchi unaakisi standards za watu wa sectors zote.