Huyo Joe ana mafanikio gani!? Acheni upuuzi, mtu anamikiki mali zinazoonekana zaidi hata ya huyo Joe lkn kwa chuki zenu mnajitia upofu!Diamond tuseme anatumika kibiashara na broe joe
Kuishi kwao si sababu ya kutokuwa na miradi yake labda kama una sababu nyungine. Ni masikini pekee ambao huamini kuwa mtu ili aonekane kafanikiwa lazima atoke kwao! Fatilia maisha ya Wahindi na Waarabu utanielewa.unaamini ni vyao au !.
huyo lamaa mpaka leo yupo kwao karibu na club ya yanga.
Tusiongee mengi nyuma ya pazia
MO mwenyewe anaishi kwaoKuishi kwao si sababu ya kutokuwa na miradi yake labda kama una sababu nyungine. Ni masikini pekee ambao huamini kuwa mtu ili aonekane kafanikiwa lazima atoke kwao! Fatilia maisha ya Wahindi na Waarabu utanielewa.
Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Tukiacha story za vijiweni,you know nothing about business.Diamond tuseme anatumika kibiashara na broe joe
Tukiacha story za vijiweni,you know nothing about business.
Unawezaje sema mtu anayemiliki zaidi ya share 40% kwenye kampuni anatumika tu kibishara!!!!?,hujui biashara weye.kuna watu wanamiliki shares 3 tu kwenye makampuni and they are rich business people.acha mwenyewe story za vijiweni, mimi sinaga story za vijiweni.
But you must understand that some people get business idea from vijiweni.
Huo ndio ukweli, uwakute sasa wanafanya uchambuzi "uchwara", hovyo tupu. Hakuna sekta hata moja inayofanya vyema.Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Clouds ni ya Mzee Kusaga.Huyo Joe ana mafanikio gani!? Acheni upuuzi, mtu anamikiki mali zinazoonekana zaidi hata ya huyo Joe lkn kwa chuki zenu mnajitia upofu!
Joe hata hiyo Clouds ana hisa kadhaa tu ila ina wanahisa wengine wengi tu ikiwa ni pamoja na wanafamilia yake (Baba na nduguze) Joe hana utajiri huo wa kumtumikisha Mondi.
Hata Waswahili ambao ni mambo safi, mtu yard ya home ni big complex, watu mnaishi under one roof lakini kuna uwezekeno msionane labda accidentally mkikutana kwenye parking lot.Kuishi kwao si sababu ya kutokuwa na miradi yake labda kama una sababu nyungine. Ni masikini pekee ambao huamini kuwa mtu ili aonekane kafanikiwa lazima atoke kwao! Fatilia maisha ya Wahindi na Waarabu utanielewa.
Nani aliekwambia Kanye West anaimiliki Yeezy?HOW?
Wakati ni partnership mmoja ana mtaji mwengine anabrand. Kama ndio hivyo hata Jordan anatumika na Nike.
Mimi hapo nimemuongelea Kanye?Nani aliekwambia Kanye West anaimiliki Yeezy?
Wamepewa Billion 1 na wizara ya Sanaa na wameundiwa wizara yao,Mnwananga sana wasanii.
Li nchi maskini unategemea vipi sanaa iwe hadhi sawa na wenzetu?
Hadhi yake inaendana na umaskini wa taifa lenyewe. Nchi hii tukimulika kwa weledi hakuna sekta hata moja inafanya vema. Ni tunapuyanga mradi maisha na siku zinakwenda. Yote ni ulalahoi wa taifa lenyewe.
Jordan anaimiliki Nike?Mimi hapo nimemuongelea Kanye?
Safi
Hivi umeelewa maana ya Partinership? Kwani Jordan brand name ya nani?Jordan anaimiliki Nike?
Brand name yake si anapata share tu kwa Nike sio kwamba wanapasuana 50/50 yaan Jordan 50 na Nike 50 hell NOHivi umeelewa maana ya Partinership? Kwani Jordan brand name ya nani?