Fei kabla ya kuja Yanga alitakiwa na Simba ila dau alilotaka hawakua tayari kutoa, hayo maneno yake alisema kwenye mahojiano na Azam tv,Fei angekuwa na akili angejileta Simba,baada ya mwaka mmoja tu angetoka. Unakuwa na kipaji ila akili za maisha huna
Sema wameshazeeka.Kwani wakina mkude, Mohamed Hussein, John Boko n k mbona wanazeekea simba
Waarabu wao wataenda kuwamwagia maji og .....na watawapiga bao tatuuuu murua watarudi wamelowaaa na vichefu chefu vya kila mara [emoji1787][emoji1787]Juzi kuna team iliwamwagia waarabu maji ya maiti.
Hao wachezaji wa Simba timu inavyofanya vizuri kimataifa mbona wapo hapa hapa hawaendi mahali wakina mkude, zimbwe junior, chama kaenda Morocco pamemshinda na wengine wengi
Anauzwa 2blnUtopolo ni utopolo tuu, hata hao akina Faisal wanaonekana wanajua coz wanacheza na timu zenye wachezaji wa daraja la chini ila wakikutana na timu ambazo wachezaji wanajua huwa hata hatuwaoni uwanjani. Mechi Kama ile ya Jana huyo feisal alifanya nn Pale uwanjani??
Sasa izo izo mavi mbona fei hajaendaUnavyo eleza utazani hao walienda timu za maana kumbe mavi tu
Ushindi wenyewe wa tigopesaSasa hao waliocheza na timu kubwa za Africa nani katoboa ? hebu baelezee !
Hawawezi kutoboa kwa kuwa hizo timu zilishajua kuwa hamshindi kwa mpira uwanjani bali mbinu zingine kama kupulizia madawa ya kuwachosha wapinzani kila sehemu watakayo kuwapo ikiwemo hotelini, kwenye usafiri hadi uwanjani kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na ndo mana timu za nje zikija hapa hata kukimbia wanakuwa hawezi wamechoooka, basi hapo ndo utamuona boko anavotimua mbio kama farasi aliekata kamba ! kumbe mshawachosha kwa madawa yenu na ndo mana timu za nyumbani zishawajulia hamtoboi mnapigwa tu magoli !
Nenda weweSasa izo izo mavi mbona fei hajaenda
Ikawaje asiende?Huyo Boko 2019 Kuna timu ilikuwa inamtaka south Africa inaitwa Polokwane kama sikosei
Feisal yupo yanga analipa dollar 10000 kwa mwezi
Unataka aende Tp mazembe alipe dollar 4000
Kama hapa kuna maslahi kwann uzulule uonekane unacheza nje ya nchi unalipwa kidogo
Yule akiuzwa hata 500m mniite mbwa nimekaaa hapa mkalama singidaAnauzwa 2bln