Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Fei kabla ya kuja Yanga alitakiwa na Simba ila dau alilotaka hawakua tayari kutoa, hayo maneno yake alisema kwenye mahojiano na Azam tv,Fei angekuwa na akili angejileta Simba,baada ya mwaka mmoja tu angetoka. Unakuwa na kipaji ila akili za maisha huna
Acheni uzushi na unafiki, Nonda Shaban ana profile kubwa kuliko hao wote mliouza huko nje