Kutoboa ukiwa Yanga SC kwenda kucheza Soka la nje ni ngumu

Kutoboa ukiwa Yanga SC kwenda kucheza Soka la nje ni ngumu

Fei angekuwa na akili angejileta Simba,baada ya mwaka mmoja tu angetoka. Unakuwa na kipaji ila akili za maisha huna
Fei kabla ya kuja Yanga alitakiwa na Simba ila dau alilotaka hawakua tayari kutoa, hayo maneno yake alisema kwenye mahojiano na Azam tv,
Acheni uzushi na unafiki, Nonda Shaban ana profile kubwa kuliko hao wote mliouza huko nje
 
Juzi kuna team iliwamwagia waarabu maji ya maiti.
Waarabu wao wataenda kuwamwagia maji og .....na watawapiga bao tatuuuu murua watarudi wamelowaaa na vichefu chefu vya kila mara [emoji1787][emoji1787]
 
Hao wachezaji wa Simba timu inavyofanya vizuri kimataifa mbona wapo hapa hapa hawaendi mahali wakina mkude, zimbwe junior, chama kaenda Morocco pamemshinda na wengine wengi

Kupitia kimataifa Simba imeuza Samatta, Ochan, Okwi, Miquissone, Salamba, Chama, Kichuya na wengne wengi tu

Swala la mchezaji kwenda timu nje ya nchi na kufanikiwa au kushindwa kupambana hilo haliihusu Simba

Simba kazi yake ni kukupa platform ya kuuzika kwenda Vilabu vikubwa ukavune mpunga zaidi
 
Feisal yupo yanga analipa dollar 10000 kwa mwezi
Unataka aende Tp mazembe alipe dollar 4000
Kama hapa kuna maslahi kwann uzulule uonekane unacheza nje ya nchi unalipwa kidogo
 
Utopolo ni utopolo tuu, hata hao akina Faisal wanaonekana wanajua coz wanacheza na timu zenye wachezaji wa daraja la chini ila wakikutana na timu ambazo wachezaji wanajua huwa hata hatuwaoni uwanjani. Mechi Kama ile ya Jana huyo feisal alifanya nn Pale uwanjani??
Anauzwa 2bln
 
Sasa hao waliocheza na timu kubwa za Africa nani katoboa ? hebu baelezee !
Hawawezi kutoboa kwa kuwa hizo timu zilishajua kuwa hamshindi kwa mpira uwanjani bali mbinu zingine kama kupulizia madawa ya kuwachosha wapinzani kila sehemu watakayo kuwapo ikiwemo hotelini, kwenye usafiri hadi uwanjani kwenye vyumba vya kubadilishia nguo na ndo mana timu za nje zikija hapa hata kukimbia wanakuwa hawezi wamechoooka, basi hapo ndo utamuona boko anavotimua mbio kama farasi aliekata kamba ! kumbe mshawachosha kwa madawa yenu na ndo mana timu za nyumbani zishawajulia hamtoboi mnapigwa tu magoli !
Ushindi wenyewe wa tigopesa
 
Feisal yupo yanga analipa dollar 10000 kwa mwezi
Unataka aende Tp mazembe alipe dollar 4000
Kama hapa kuna maslahi kwann uzulule uonekane unacheza nje ya nchi unalipwa kidogo

Dóllar 10k ni sawa na takribani tsh 23ml,,, huu ni uongo mbichi kabisa

Kwanza wachezaji wazawa wote ktk ligi yetu hakuna anaelipwa kwa Dollar

Pili Fei akiwa JKU ya Znz mpaka kufika 2018 salary yake ilikuwa tsh 280k, kaja Uto akasaini salary ya tsh 750k ( enzi hizo Uto bado Unga Unga mwana mtembeza bakuli), mkataba ulipokaribia kuisha akasaini tena 2020 dau likapanda ila sio kuzidi 3ml msimu huu ndio GSM alikuwa kaingiza mikono yake ya ufadhili kwa Uto

Top 3 ya wazawa wanaokunja parefu kwa mwezi wote wapo Simba wakiongozwa na John Raphael Bocco
 
Back
Top Bottom