Kutofanikiwa kwa mfumo wa ubepari katika nchi zetu za afrika,tumeshindwa kufata mfumo au mfumo unatutema?

Kutofanikiwa kwa mfumo wa ubepari katika nchi zetu za afrika,tumeshindwa kufata mfumo au mfumo unatutema?

kwa kifupi , we don't know what we want as Africans.
 
Kiufupi hiyo mifumo tumeshindwa kuendana nayo ,hata pesa zetu wanamiliki wao.

Inawezekana hata nchi ikakosa pesa wakati ni zetu wenyewe
 
Zile top position walibidi wakae watu kutoka nje na sio wanasiasa wa Sisiemu
 
Hilo haliwezekani .sema mfumo uliasisiwa tangu mwanzo ndio umetufikisha hapa
Taasisi inahitaji management nzuri na Kwa bahati mbaya sisi hatuna hiyo karama ya kuwa na good management so ilibidi waje watu wengine wakae hapo juu
 
Unaijua vieiteeeee wewe?🤔 just imagine!
Hovyo sana hao jamaa. Wana kazi ya kuwajaza ujinga watoto wa walalahoi na kuwaita wazalendo ili wao waendelee kuchuma mema ya nchi.

Mitoto ya masikini kama Mwashambwa na wengineo wanatumika vibaya kwa kuwa brainwashed eti wao ni patriots.

I was there, thanks God amenitoa huko. Sasa hivi ninamtumikia Mungu katika masuala ya humanity.

Mimi na CCM baaas tangia mwaka 2021.
 
Market Economy/Free market economy
Globalization
Individualism

Tunakosea wapi?
Market Economy/Free market economy
Globalization
Individualism

Tunakosea wapi?
Mfumo wa Ubepari unahitaji Watu wenye akili nzuri ili kuweza kuusimamia na kuuendesha katika nchi. Watu weusi wengi zaidi hawana uwezo wa aina hiyo ya kuweza kuumudu Ubepari.
 
Market Economy/Free market economy
Globalization
Individualism

Tunakosea wapi?
Mfumo wa ubepari haufanyi kazi vizuri afrika? Wewe unaujuaje mana naona afrika ndo nganganga na unaenda kukomaa sasa. Soon tunaingia kwenye industrial economy.. tegemeq kuzaliwa tabaka lililokomaa na wafanyakazi wa bei rahsi ambao wana elim kubwa tu..v

Angalia tatizo la ajira lililvyo na useme ni kina nani hasa ni wahanga wakubwa na taja sifa za kijamii za huko wanakotoka
 
Back
Top Bottom