A
Anonymous
Guest
Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A.
Na wanaohusika kuhamisha hizo taarifa ni TAMISEMI na kila ninapowapigia simu majibu ni yaleyale kuwa watahamisha lakini hawajahamisa tangu 2024 mpaka sasa Hali inayoniletea changamoto kwenye ujazaji wa PEPMIS.
Na sio Mimi Tu ni watumishi wengi taarifa hazijahama.
Naomba mtupazie sauti ili wahusika wazipate.