Kutojijua Mwenyewe (Falsafa Binafsi)

Kutojijua Mwenyewe (Falsafa Binafsi)

JF ni shule kuna vichwa post safi sanaaaaa!,Ahsante sana kaka X-PASTER.
 
X-Paster,
Kwa mara ya kwanza hapa JF nakukubali.
Kwa kuwa waswahili husema: "Mnyonge mnyongeni, Haki yake Mpeni"

Thanks for the good post.
 
Heshima Mkuu! Imetulia sana. Pamoja na kuweka katika mabano (Falsafa binafsi), vile vile inaweza kuwa (Falsafa ya Nafsi) kwani ubora na udhaifu wa binadamu unajikita katika nafsi yake. Na ndio maana, vifungu vya maneno kama: ujinga wa nafsi, kurekebisha nafsi, kujichunguza nafsi (x2), sifa mbaya katika nafsi, tukazizuwia nafsi, kuirekebisha nafsi, kuimarisha nishati [zao za] kimaadili, kifikra na kinafsi, kuzisafisha nafsi, majivuno na ubinafsi) ni maneno ambayo yamejirudia kama mara kumi hivi. Hata kinyume cha kutendea watu wema imejitokeza kuwa ni ubinafsi
Kwa hiyo waungwana, tuzijuwe nafsi zetu.
 
Safi sana mkuu, nimekubali title:

Falsafa Ya Nafsi.

Sound good to me.
 
Falsafa ni muhimu katika maisha ya mwanadamu sema wengi wetu hatulijui hilo tupotupo tu kama makapuku
 
Back
Top Bottom