Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu, nimekubali title:Heshima Mkuu! Imetulia sana. Pamoja na kuweka katika mabano (Falsafa binafsi), vile vile inaweza kuwa (Falsafa ya Nafsi) kwani ubora na udhaifu wa binadamu unajikita katika nafsi yake. Na ndio maana, vifungu vya maneno kama: ujinga wa nafsi, kurekebisha nafsi, kujichunguza nafsi (x2), sifa mbaya katika nafsi, tukazizuwia nafsi, kuirekebisha nafsi, kuimarisha nishati [zao za] kimaadili, kifikra na kinafsi, kuzisafisha nafsi, majivuno na ubinafsi) ni maneno ambayo yamejirudia kama mara kumi hivi. Hata kinyume cha kutendea watu wema imejitokeza kuwa ni ubinafsi
Kwa hiyo waungwana, tuzijuwe nafsi zetu.