Kwa Wale Ambao Hamjaajiriwa Poleni Sana, Ila Nendeni Tena Wizarani Mkajue Tatizo Nini Pengine Barua Zenu Zilikua Hazina Viambatanisho( Vyeti) Kwani Nimeona Hilo Nalo Wameligusia, Na Kama Idadi Waliyosema Ni Tofauti Na Waliyotoa Basi Kuna Uwezekano Mkubwa Mkaajiriwa Mapema Mwezi Ujao.Nawaonea Huruma Sana Mungu Awasaidie
Sisi tulijaza majina vyuoni tuliko soma na hata barua tuliandika na vyeti tuliambatanisha. Naona ni njia ya kujitetea tu ,tatizo ni pesa hakuna ndicho ninacho hisi mimi.
Pole sana mkuu jaribu kwenda tamisemi pale dodoma
ndugu yani roho inaniuma kusikia kuna watu wamekosa tena ajira kwa mara ya pili tena. ebu jaribu kufikir kua ingekua ni ww ingekuaje! kiukwel nna rafik zangu weng wamekosa tena yani kiukwel nazid kurealize kua huu ulimwengu hauko fair aise. poleni ndgu zangu cha msingi ni kutokukata tamaa tu na kumuomba mwenyezi mungu
Inaumiza Sana, Ila Wasikate Tamaa Waende Tena Tamisemi Dodoma, Mungu Atawapigania Na Kuwapa Haki Yao.
Yaaani hapa nimeumia ni basi tu sababu ya uanaume lakini vinginevyo ningekuwa nalia tangu jana hadi sasa kiukweli nimetendwa sana na hii serikali sitakuja kuisahau hasa nikikumbuka mda nilio upoteza ,vigezo vyote ninavyo lakini nimeachwa