Kutoka 2219 hadi 1709 hii nini maana yake?

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
4,453
Reaction score
4,933
TAMISEMI walitangaza kuwa watatoa ajira 2219 lakini wametoa 1709 tu dah, na mbali na hilo tarehe ya kuriport ni tar 24 hadi 30 mwezi huu huu.

Lakini pamoja na hilo wamedai kuwa kuna walimu ambao hawakuajiriwa na vigezo vilivyo tumika ni umri aisee hii nchi hii!?
 
Kwa wale ambao hamjaajiriwa poleni sana, ila nendeni tena wizarani mkajue tatizo nini pengine barua zenu zilikua hazina viambatanisho( Vyeti) kwani nimeona hilo nalo wameligusia.

Na kama idadi waliyosema ni tofauti na waliyotoa basi kuna uwezekano mkubwa mkaajiriwa mapema mwezi ujao.

Nawaonea huruma sana mungu awasaidie
 
Kwa Wale Ambao Hamjaajiriwa Poleni Sana, Ila Nendeni Tena Wizarani Mkajue Tatizo Nini Pengine Barua Zenu Zilikua Hazina Viambatanisho( Vyeti) Kwani Nimeona Hilo Nalo Wameligusia, Na Kama Idadi Waliyosema Ni Tofauti Na Waliyotoa Basi Kuna Uwezekano Mkubwa Mkaajiriwa Mapema Mwezi Ujao.Nawaonea Huruma Sana Mungu Awasaidie

Sisi tulijaza majina vyuoni tuliko soma na hata barua tuliandika na vyeti tuliambatanisha. Naona ni njia ya kujitetea tu ,tatizo ni pesa hakuna ndicho ninacho hisi mimi.
 
Pole sana mkuu jaribu kwenda tamisemi pale dodoma
 
ndugu yani roho inaniuma kusikia kuna watu wamekosa tena ajira kwa mara ya pili tena. ebu jaribu kufikir kua ingekua ni ww ingekuaje! kiukwel nna rafik zangu weng wamekosa tena yani kiukwel nazid kurealize kua huu ulimwengu hauko fair aise. poleni ndgu zangu cha msingi ni kutokukata tamaa tu na kumuomba mwenyezi mungu
 
Ni kweli mkuu ata mie imenigusa sana kuona kunabaadhi ya walimu wameachwa tena cha msingi tu wasikate tamaa
 
Inaumiza Sana, Ila Wasikate Tamaa Waende Tena Tamisemi Dodoma, Mungu Atawapigania Na Kuwapa Haki Yao.
 
Yaaani hapa nimeumia ni basi tu sababu ya uanaume lakini vinginevyo ningekuwa nalia tangu jana hadi sasa kiukweli nimetendwa sana na hii serikali sitakuja kuisahau hasa nikikumbuka mda nilio upoteza ,vigezo vyote ninavyo lakini nimeachwa
 
Pole sana mkuu usikate tamaa kama vigezo unavyo utapata tu, ila najiuliza mbona ile idadi waliosema haijatimia.
 
yas,tutabak na mavyet tu wakuu,binafs ni mmoja kati ya watu ishirin na tano waliopata credit kwa diploma lakin awam zote mbili nimekosa.
 
Mimi matarajio yote yalikuwa huko hasa
 
Back
Top Bottom