Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Alisha kubali kutumika na wanaolidhulumu taifa na ikawa sababu ya uwenyekiti wake wa milele kukoma kama utawala wa milele wa ccm unavyoelekea ukingoni!
Kusahau Janga la Nyuma: Kuna hisia kuwa amewasamehe haraka waliowatesa, kuwafunga, au kuwapiga risasi wanachama wa upinzani bila kudai haki kwanza
 
Hawa wanaolalamika Mbowe kuhudhuria huo uzinduzi wenyewe wanatumia umeme wa kutoka wapi?. Huu ni ukosefu wa akili tu.
 
Pamoja na kutumia uhuru wake, bado tukija kwenye uhalisia anachokifanya ni usnitch. Kwenye kesi ya Lissu hajawahi kuonekana hata siku moja! Hii inamaanisha anafurahia shida na taabu anazopitia Lissu.
Kwenye kesi ya Lissu hajawahi kuonekana hata siku moja! Hii inamaanisha anafurahia shida na taabu anazopitia Lissu.✍🏿
 
Vyote vinaleta maana moja tu
Mmh OK basi sawa...!!! But nadhani umechanganya

The fundamental difference is intent and awareness: "being real" is a conscious, ongoing choice to act with authenticity and integrity, while "showing true colors" is the involuntary exposure of hidden flaws or malice when a deceptive facade finally slips under pressure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…