Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Kasheshe.
Mpumbavu tu hamna cha ujumbe wala nn, kwakifupi huyu alishakula pesa za watu so hawezi kuwaangusha!
Umesahau juhudi alizokuwa anazifanya mbowe akiwa mwenyekt za kuhakikisha viongozi wenzake ambao wana misimamo mikali dhidi ya ccm wote waanguke kwenye chaguzi za ndani kusudi wabakie wale ambao ni soft mfano mbowe mwenyewe na wenje??? Ambaye badae baada ya kupigwa chini na heche akatimkia ccm, wengine wakaenda kuaanzisha tawi la ccm (chauma)!.
 
1787763785540.jpg
 
Back
Top Bottom