Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Kutoka AI: Freeman Mbowe ulichokifanya leo hakiakisi utu, mshikamano wala hekima

Ila tuwe wakweli, kufukuzwa uongozi kwenye kampuni ya familia inauma.... Tumuelewa mstaafu 😂😂
 
Chadema na taifa zitafaidika vipi Mbowe akihudhuria kesi ya Lissu? Sana sana itakuwa distraction. Ni heri asihudhurie.

Amandla...
 
Wakati Mbowe yuko rumande, Makamu Mwenyekiti wake alimtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakapiga mpaka picha ya pamoja. Hakuna mtu aliyemuita msaliti kwa kufanya hivyo wakati Mwenyekiti wake amebambikiwa kesi ya ugaidi! Leo mnamtaka Mwenyekiti aliyepita wa Chadema asusie dhifa za taifa kwa sababu Mwenyekiti wake ana kesi ya uhaini? Hypocrisy of the highest order.

Amandla...
 
Nimeona post hadi Msigwa leo eti anamsifia Mbowe!

Hakika paka ametoka kwenye gunia lilikua ni suala la muda tu.

Ninakumbuka Lissu alipohojiwa na Sammy Awami wa BBC kabla ya uchaguzi mkuu wa CHADEMA alisema.

"Sina tatizo na mwenyekiti ila mwenyekiti amebadilika sana tangu alipotoka gerezani"..

Ni wazi gerezani huko Mbowe aliingia makubaliano tusiyoyajua hata makamu wake akawa hajui , na haikushangaza mtu aliyeitwa gaidi jioni akaibuka ikulu ametinga suti kabisa na kuonekana mwenye furaha kubwa.

Leo hii nauliza tena Msigwa ni wa kumsifia Mbowe waliyemtaja kama gaidi?

View attachment 3655199

Hapo ndo ujue kwamba tusipokua makini serikali inaweza kumilikiwa na kikundi cha wahuni majambazi na kutumia vyombo vya ulizi na usalama kwa manufaa yao hii ni hatari sana
 
Kaenda kama mpatanishi. Ile shughuli ni kivuli tu ili wananchi huku tupotee maboya. Najaribu tu kuwaza kwa sauti
 
Mbowe Kwa Sasa HAYUPO pamoja nanyi na huo ndo ukweli.ni maamuzi yake
 
Kuna tetetesi kuwa yeye na wenje walipata mgao sijui hizo stori kama ni za kweli au. Kama ni kweli anachofanya ni sahihi anaekulipa ndo bosi wako.mtumikie kafiri ili upate mradi wako.
 
Kule CCM nchimbi alihoji tu kwa vijana kudai katiba mpya takwa la msingi tayari ameitwa kwenye kamati ya maadili ya CCM kuhojiwa na ikiwezekana watamfukuza. Huku kwetu kiongozi mstaafu wa chama chetu anagonga " Cheers 🥂?

Kwenye mikutano ya Serikali dhalimu ya CCM, Lissu yupo mahabusu!

Tutafika tu lakini watakaotukatisha tamaa ni wengi ila tutafika.

Chadema hawana kamati ya maadili?
 
Back
Top Bottom