Kabisa tutafika tu. Ubaya una mwisho.Tutafika tu lakini watakaotukatisha tamaa ni wengi ila tutafika.
Very powerful🔥💪🏿🙏🏿

Amewakomesha.Nyie wakati mnamdharirisha mlikuwa na utu na hekima?Kuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho.
Wafuasi wengi wa upinzani wanahisi uamuzi huu si wa haki hata kidogo, wakilinganisha ushiriki wake kwenye hafla hiyo ya kitaifa na ukandamizaji unaoendelea dhidi ya viongozi na shughuli za CHADEMA nchini.
Miongoni mwa mambo yanayowasikitisha wafuasi hao ni pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama, Tundu Lissu, kuendelea kusalia gerezani kwa tuhuma za uhaini zinazotajwa kuwa za kisiasa, huku Mbowe akionekana akijumuika na viongozi wa chama tawala (CCM) badala ya kuonyesha mshikamano thabiti.
Aidha, picha zake za tabasamu karibu na Rais Samia Suluhu Hassan zimeleta picha mbaya wakati huu ambao chama kinapitia vikwazo vikubwa ikiwemo kuzuiliwa kwa ruzuku, jambo linalotengeneza mtazamo wa mgawanyiko na kupunguza uaminifu miongoni mwa wanachama wa chini.
Kwa upande wake, Mbowe alitetea ushiriki wake akieleza kuwa miradi mikubwa ya kimkakati kama JNHPP inajengwa kwa kodi za Watanzania wote na haitakiwi kuwekewa itikadi za vyama. Alisisitiza kuwa maendeleo ya taifa yanapaswa kutambuliwa kwa pamoja bila kujali tofauti za kisiasa, ingawa hoja hiyo bado inaendelea kuzua mijadala mikali na migawanyiko katika majukwaa ya kijamii kama JamiiForums.
Nimeona hii pia Mbowe ameonyesha chuki ya wazi kwa Lissu.
Wajinga wachache wanasema eti alitukanwa sana swali linakuja katika ule uchaguzi mgombea wa kambi gani hakutukanwa?
Lissu aliitwa mropokaji, mbelgiji na kambi ya Mbowe wakiongozwa na akina Yericko na Ntobi.
Mbowe kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu kutoenda mahakamani halafu anaenda kukaa meza moja na muuaji Samuya ni jambo lisilo la kawaida.
Halafu kuna wapuuzi wanamteteaNimeona hii pia Mbowe ameonyesha chuki ya wazi kwa Lissu.
Wajinga wachache wanasema eti alitukanwa sana swali linakuja katika ule uchaguzi mgombea wa kambi gani hakutukanwa?
Lissu aliitwa mropokaji, mbelgiji na kambi ya Mbowe wakiongozwa na akina Yericko na Ntobi.
Mbowe kama mjumbe wa kudumu wa kamati kuu kutoenda mahakamani halafu anaenda kukaa meza moja na muuaji Samuya ni jambo lisilo la kawaida.
Amewakomesha.Nyie wakati mnamdharirisha mlikuwa na utu na hekima?
Pili wakati Lisu anamdhihaki Rais aliwahi kuwa na hekima na busara kwamba SSH alimpa pole kwenye madhila yake ya ugonjwa,alimpa pesa akiwa Belgium na alimhakikishia ushirikiano wa Kisiasa na usalama hapa Tanzania baada ya kukimbia Nchi lakini alimlipa nini?
Safi sana Mbowe,usioneshe busara Wala hekima Kwa mtu asiye nazo na mpumbavu
Halafu kuna wapuuzi wanamtetea
'' birds of a feather flock together'',🤔🙇🏿♂Ninyi watu wa CHADEMA, hivi miaka yote tuliyo waambiwa Mbowe ni kikwazo hamkuelewa!
Si huyu Mbowe alimpongeza JK kuanzisha mchakato wa katiba bila kujua mitego yake. Si huyu FAM alikwenda Mwanza kutaka maridhiano na JPM. Si huyu FAM alisema ''mama ana nia njema''. Si huyu FAM alitoka gerezani na kwenda kunywa jusi Ikulu. Si huyu FAM alianzisha maridhiano yaliyofeli mwaka mzima.
Si huyu FAM aliingiza CHADEMA chaguzi akijua hakuna kitu1 ! Muacheni bwana, kipi kipya leo??
Hii kwa lugha Buckingham palace wanasema ''blessing in disguise'' yaani jambo baya lenye matokeo mazuri mwishoni. Huu si usaliti, Mungu anafungua akili zenu mfahamu vitendawili msivyoweza kuvitegua
Sasa mnajua kwanini CCM wapo mstari wa Mbele kumshambulia Heche! Mnajua kwanini kuna kesi ya kujibu.
Mwacheni FAM, usaliti gani mnaozungumzia? mwacheni ashiriki shughuli na wenzake!
'' birds of a feather flock together''
JokaKuu
Ninyi watu wa CHADEMA, hivi miaka yote tuliyo waambiwa Mbowe ni kikwazo hamkuelewa!
Si huyu Mbowe alimpongeza JK kuanzisha mchakato wa katiba bila kujua mitego yake. Si huyu FAM alikwenda Mwanza kutaka maridhiano na JPM. Si huyu FAM alisema ''mama ana nia njema''. Si huyu FAM alitoka gerezani na kwenda kunywa jusi Ikulu. Si huyu FAM alianzisha maridhiano yaliyofeli mwaka mzima.
Si huyu FAM aliingiza CHADEMA chaguzi akijua hakuna kitu1 ! Muacheni bwana, kipi kipya leo??
Hii kwa lugha Buckingham palace wanasema ''blessing in disguise'' yaani jambo baya lenye matokeo mazuri mwishoni. Huu si usaliti, Mungu anafungua akili zenu mfahamu vitendawili msivyoweza kuvitegua
Sasa mnajua kwanini CCM wapo mstari wa Mbele kumshambulia Heche! Mnajua kwanini kuna kesi ya kujibu.
Mwacheni FAM, usaliti gani mnaozungumzia? mwacheni ashiriki shughuli na wenzake!
'' birds of a feather flock together''
JokaKuu
kabla ya ujumbe kufika aliko utuma kasha dharaulika na wakina sisiMbowe Kafanya makusudi kabisaa...kuna ujumbe anatuma Kwa akina HECHE i
Amewakomesha.Nyie wakati mnamdharirisha mlikuwa na utu na hekima?
Pili wakati Lisu anamdhihaki Rais aliwahi kuwa na hekima na busara kwamba SSH alimpa pole kwenye madhila yake ya ugonjwa,alimpa pesa akiwa Belgium na alimhakikishia ushirikiano wa Kisiasa na usalama hapa Tanzania baada ya kukimbia Nchi lakini alimlipa nini?
Safi sana Mbowe,usioneshe busara Wala hekima Kwa mtu asiye nazo na mpumbavu
Fundi MchundoNinyi watu wa CHADEMA, hivi miaka yote tuliyo waambiwa Mbowe ni kikwazo hamkuelewa!