maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 2,338
- 5,286
Ana stress hakuna wakununua mitabu yake. Kitabu anauza elfu 50 kila kilichoandikwa amecopy na kupaste mitandaoniCreativity zeroBaada ya kugundua ni mpuuzi nikaacha kabisa kumfuatilia

Mimi acha nishangae tu na haya maoni kuhusu Mbowe ambayo bado kuna watu ndani ya CHADEMA wanafikiri Mbowe bado anayo matumaini ndani ya chama hicho.
Hivi kweli ilihitaji kumwona Mbowe leo kwenye hafla hiyo ndipo watu wajue alipo Mbowe?
Yooote yaliyoonekana wakati wa uchaguzi na baada ya uchaguzi hayakutosha kabisa kuwapa ufahamu juu ya dhamira ya Mbowe na hicho chama alichokiongoza na kutaka kukikabidhi kwa Samia?
Hamkujifunza chochote huko, hadi leo mje hapa kumzungumzia Mbowe katika maswala ya CHADEMA?
Manataka awaambie vipi kuhusu msimamo wake zaidi ya yote aliyokwishayaonyesha waziwazi muelewe!
Hakuna mradi wowote wenye maana ikiwa Wananchi wanatekwa na kuuawa huku maelfu wakibambikwa kesi za uongo za Uhaini na ugaidiKuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho.
Wafuasi wengi wa upinzani wanahisi uamuzi huu si wa haki hata kidogo, wakilinganisha ushiriki wake kwenye hafla hiyo ya kitaifa na ukandamizaji unaoendelea dhidi ya viongozi na shughuli za CHADEMA nchini.
Miongoni mwa mambo yanayowasikitisha wafuasi hao ni pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama, Tundu Lissu, kuendelea kusalia gerezani kwa tuhuma za uhaini zinazotajwa kuwa za kisiasa, huku Mbowe akionekana akijumuika na viongozi wa chama tawala (CCM) badala ya kuonyesha mshikamano thabiti.
Aidha, picha zake za tabasamu karibu na Rais Samia Suluhu Hassan zimeleta picha mbaya wakati huu ambao chama kinapitia vikwazo vikubwa ikiwemo kuzuiliwa kwa ruzuku, jambo linalotengeneza mtazamo wa mgawanyiko na kupunguza uaminifu miongoni mwa wanachama wa chini.
Kwa upande wake, Mbowe alitetea ushiriki wake akieleza kuwa miradi mikubwa ya kimkakati kama JNHPP inajengwa kwa kodi za Watanzania wote na haitakiwi kuwekewa itikadi za vyama. Alisisitiza kuwa maendeleo ya taifa yanapaswa kutambuliwa kwa pamoja bila kujali tofauti za kisiasa, ingawa hoja hiyo bado inaendelea kuzua mijadala mikali na migawanyiko katika majukwaa ya kijamii kama JamiiForums.
EXACTLY!
Mimi nadhani sio Mbowe tu ata makamanda ambao bado tunalipa kodi kwa serikali ya CCM,kutumia vitu kama bara bara,maji,umeme,hospitali zilizojengwa na serikali sio sahihi.Hii ni kua tunaunga mkono kinachoendelea.Kuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho.
Wafuasi wengi wa upinzani wanahisi uamuzi huu si wa haki hata kidogo, wakilinganisha ushiriki wake kwenye hafla hiyo ya kitaifa na ukandamizaji unaoendelea dhidi ya viongozi na shughuli za CHADEMA nchini.
Miongoni mwa mambo yanayowasikitisha wafuasi hao ni pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama, Tundu Lissu, kuendelea kusalia gerezani kwa tuhuma za uhaini zinazotajwa kuwa za kisiasa, huku Mbowe akionekana akijumuika na viongozi wa chama tawala (CCM) badala ya kuonyesha mshikamano thabiti.
Aidha, picha zake za tabasamu karibu na Rais Samia Suluhu Hassan zimeleta picha mbaya wakati huu ambao chama kinapitia vikwazo vikubwa ikiwemo kuzuiliwa kwa ruzuku, jambo linalotengeneza mtazamo wa mgawanyiko na kupunguza uaminifu miongoni mwa wanachama wa chini.
Kwa upande wake, Mbowe alitetea ushiriki wake akieleza kuwa miradi mikubwa ya kimkakati kama JNHPP inajengwa kwa kodi za Watanzania wote na haitakiwi kuwekewa itikadi za vyama. Alisisitiza kuwa maendeleo ya taifa yanapaswa kutambuliwa kwa pamoja bila kujali tofauti za kisiasa, ingawa hoja hiyo bado inaendelea kuzua mijadala mikali na migawanyiko katika majukwaa ya kijamii kama JamiiForums.
Jamaa anachuki sana tangu apigwe chini.Kuonekana kwa Freeman Mbowe hadharani leo katika uzinduzi wa Serikali wa Mradi wa Kufua Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA, ambao wanaona hatua hiyo kama usaliti kwa mapambano ya sasa ya chama hicho.
Wafuasi wengi wa upinzani wanahisi uamuzi huu si wa haki hata kidogo, wakilinganisha ushiriki wake kwenye hafla hiyo ya kitaifa na ukandamizaji unaoendelea dhidi ya viongozi na shughuli za CHADEMA nchini.
Miongoni mwa mambo yanayowasikitisha wafuasi hao ni pamoja na Mwenyekiti mpya wa chama, Tundu Lissu, kuendelea kusalia gerezani kwa tuhuma za uhaini zinazotajwa kuwa za kisiasa, huku Mbowe akionekana akijumuika na viongozi wa chama tawala (CCM) badala ya kuonyesha mshikamano thabiti.
Aidha, picha zake za tabasamu karibu na Rais Samia Suluhu Hassan zimeleta picha mbaya wakati huu ambao chama kinapitia vikwazo vikubwa ikiwemo kuzuiliwa kwa ruzuku, jambo linalotengeneza mtazamo wa mgawanyiko na kupunguza uaminifu miongoni mwa wanachama wa chini.
Kwa upande wake, Mbowe alitetea ushiriki wake akieleza kuwa miradi mikubwa ya kimkakati kama JNHPP inajengwa kwa kodi za Watanzania wote na haitakiwi kuwekewa itikadi za vyama. Alisisitiza kuwa maendeleo ya taifa yanapaswa kutambuliwa kwa pamoja bila kujali tofauti za kisiasa, ingawa hoja hiyo bado inaendelea kuzua mijadala mikali na migawanyiko katika majukwaa ya kijamii kama JamiiForums.
"Mradi"?Hakuna mradi wowote wenye maana ikiwa Wananchi wanatekwa na kuuawa huku maelfu wakibambikwa kesi za uongo za Uhaini na ugaidi
Pesa imeongea.Money talk. Especially when it is hidden given
Atajua mwenyewe na roho yake wala usimsemehe.Ila pesa yake haina amani
Inaumiza sana kwa mtu aliyeaminika kama mwambaNimeona post hadi Msigwa leo eti anamsifia Mbowe!
Hakika paka ametoka kwenye gunia lilikua ni suala la muda tu.
View attachment 3655199
Kumbe Mwamba atakuwa aliumiza vijana wengi sana, walioamini katika falsafa na fikra zake feki za mapambano ya kuing'oa CCM madarakani....Inaumiza sana kwa mtu aliyeaminika kama mwamba
Inaumiza sana kwa mtu aliyeaminika kama mwamba
Muda umetueleza yote hata post ya jana aliyotoa huyu kibaka Yericko Nyerere kuhusu Lissu imenipa uhakika 100% alikuwepo katika wale mbwa walioingia mahakamani kwenye vibanda wakiitwa mashahidi wa siri.