Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

Hivi ni kwa nini Waarabu huwa hawaanzi nyumbani hizi mechi?
Hilo ni swali la msingi sana kujiuliza, toka nimeanza kufatilia soka, sijawahi kuona tunaanzia kwa waarabu, hapo kuna namna
 
Hela Zote walipeleka kuhonga Toto badala ya kuwapa Motisha Wachezaji wao!
Ile ml 40 waliyowapa Toto waibanie simba si heri wangewapa wachezaji wao kupunguza madeni ili kuwaongezea morali ya mchezo!!!
 
simba vs k.sugar,simba vs Toto,hapo jibu umepata
 
Hilo ni swali la msingi sana kujiuliza, toka nimeanza kufatilia soka, sijawahi kuona tunaanzia kwa waarabu, hapo kuna namna
1993. CAF Cup Simba 3-0 Al Harrach Algeria.uwanja wa taifa. Mechi ya marudiano Al Harrach 2-0 Simba. kumalizia nyumbani au ugenini siyo tatizo, tatizo ni mipango yetu wenyewe.
 
Kila mwaka wao ni kufungwa tu ,ss ubingwa mnang'ang'ania ya nini? KULE CLUB BINGWA MLIPIGWA MMERUDISHWA HUKU WASHINDI KICHAPO TENA ,HAA HAWA WA KIMATAIFA FEKI. HALAF HAWANAGA AIBU, MDOMO JUU TU HAYA MADOMO-KAYA. NGOJA WAJE UTAONA KWEL NI MIDOMO KAYA
 
1993. CAF Cup Simba 3-0 Al Harrach Algeria.uwanja wa taifa. Mechi ya marudiano Al Harrach 2-0 Simba. kumalizia nyumbani au ugenini siyo tatizo, tatizo ni mipango yetu wenyewe.
Swali letu ni kwanini wao kila mwaka waanze ugenini? Hatuzungumzii matokeo, uelewa wa vijana wa kitanzania wa miaka hii uko chini sana
 
Mara ya mwisho mikia kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa 2013, waligongwa 5 - 0 na Libolo ya Angola
 
Wakimataifa haooo [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…