Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tukifungwa sisi ni Wakimataifa tu.
Kufungwa Algeria sio Sawa kufungwa Kagera
Umesahau kwamba hao Azam wamechezea kichapo wiki chache zilizopita?dah!mpira Wa kitanzania huu!
labda hii klabu mpya AZAM FC!wataleta changes!
Hilo ni swali la msingi sana kujiuliza, toka nimeanza kufatilia soka, sijawahi kuona tunaanzia kwa waarabu, hapo kuna namnaHivi ni kwa nini Waarabu huwa hawaanzi nyumbani hizi mechi?
Ile ml 40 waliyowapa Toto waibanie simba si heri wangewapa wachezaji wao kupunguza madeni ili kuwaongezea morali ya mchezo!!!Hela Zote walipeleka kuhonga Toto badala ya kuwapa Motisha Wachezaji wao!
simba vs k.sugar,simba vs Toto,hapo jibu umepataHatimaye yametimia Mungu analipa.Wakimataifa acheni wivu Na majungu.Mlitakata Simba asikate Rufaa licha ya Kagera kufanya kosa la kumchezesha mchezaji mwenye kadi 3? Mngekuwa nyie msingekata Rufaa? Haya leo mmepata kipigo cha mbwa mwitu mmepigwa 4G kama mmesimama.Pelekeni mashtaka PCCB wawasaidie.Uwezo wa kucheza mashindano makubwa hamna Na bado mnang'ang'ania Ubingwa yako wapi ? Yamewashinda.
Mbona nimeona mataa uwanjani, mataa yanawaka kwenye nguzo ndefu?Usiku dar lakini kule haikuwa usiku
1993. CAF Cup Simba 3-0 Al Harrach Algeria.uwanja wa taifa. Mechi ya marudiano Al Harrach 2-0 Simba. kumalizia nyumbani au ugenini siyo tatizo, tatizo ni mipango yetu wenyewe.Hilo ni swali la msingi sana kujiuliza, toka nimeanza kufatilia soka, sijawahi kuona tunaanzia kwa waarabu, hapo kuna namna
Swali letu ni kwanini wao kila mwaka waanze ugenini? Hatuzungumzii matokeo, uelewa wa vijana wa kitanzania wa miaka hii uko chini sana1993. CAF Cup Simba 3-0 Al Harrach Algeria.uwanja wa taifa. Mechi ya marudiano Al Harrach 2-0 Simba. kumalizia nyumbani au ugenini siyo tatizo, tatizo ni mipango yetu wenyewe.
Mara ya mwisho mikia kushiriki mashindano ya kimataifa ilikuwa 2013, waligongwa 5 - 0 na Libolo ya AngolaKila mwaka wao ni kufungwa tu ,ss ubingwa mnang'ang'ania ya nini? KULE CLUB BINGWA MLIPIGWA MMERUDISHWA HUKU WASHINDI KICHAPO TENA ,HAA HAWA WA KIMATAIFA FEKI. HALAF HAWANAGA AIBU, MDOMO JUU TU HAYA MADOMO-KAYA. NGOJA WAJE UTAONA KWEL NI MIDOMO KAYA
Wakimataifa haooo [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]April 15 2017 Yanga wanacheza mchezo wa marudiano wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho dhidi ya MC Alger nchini Algeria.
Dakika ya 15 sasa hivi
Algiers 1-0 Yanga
April 15 nchini Algeria katika uwanja wa July 5 1962 mjini Al-Jaza’ir, Yanga ambao waliingia wakiwa wanahitaji sare ya aina yoyote ili waweze kupata nafasi ya kuingia katika hatua ya makundi ya Kombe la shirikisho barani Afrika, wamejikuta wakikubali kipigo cha magoli 4-0 na safari yao kuishia hapo.
View attachment 496611
Magoli ya MC Alger ambao waliingia uwanja wa July 5 1962 wakiwa na sapoti kubwa ya mashabiki wao yalifungwa na Aouadj dakika ya 14 na 91, Derrardja dakika ya 39 na Zerdab dakika ya 66, hivyo Yanga wanaondolewa katika michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika kwa jumla ya magoli 4-1.