Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

Kutoka Algeria: MC Alger 4 - 0 Young Africans

Anarudi analia heeee... huruma...na michezo ya Mwarabu huruma...
 
Hatimaye yametimia Mungu analipa.Wakimataifa acheni wivu Na majungu.Mlitakata Simba asikate Rufaa licha ya Kagera kufanya kosa la kumchezesha mchezaji mwenye kadi 3? Mngekuwa nyie msingekata Rufaa? Haya leo mmepata kipigo cha mbwa mwitu mmepigwa 4G kama mmesimama.Pelekeni mashtaka PCCB wawasaidie.Uwezo wa kucheza mashindano makubwa hamna Na bado mnang'ang'ania Ubingwa yako wapi ? Yamewashinda.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kiukweli sikuona mipango yoyote thabiti ya kupania kuwaondowa hawa Waarabu.

Simba ilipofanikiwa kuitowa Zamaleki kwa matuta mipango tuliiona ikiwa ni pamoja na kuweka kambi Oman na kukodi kocha wa ziada yule Mwarabu Mtanzania.

Kama kuna Yanga mwenzangu alitalajia matokeo kinyume na haya basi akapimwe akili. Waangalieni TP Mazembe uwekezaji wao si magazetini ndio maana hawasumbuliwi kamwe na Waarabu.

Haya turudi kwenye mazingaombwe yetu ya VPL.

Kimantiki Yanga haipaswi kuchukuwa ubingwa mwaka huu hii nafasi tuwaachie na wengine wakajaribu hizi international games, sisi hatuko serious.
 
*nawaibia siri katen f
mansury ana yellow tatu[emoji87][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]*
 
Mkuu uliona mbali sana.
Niliona wanabutua buta wakidhani wanacheza na wana lizombe, kumbe mwarabu. Warabu wakija Dar wao sana wanatafuta sare au wakifungwa goli moja. Wao yeboyebo wa naona goli moja wameshinda!
 
Hela Zote walipeleka kuhonga Toto badala ya kuwapa Motisha Wachezaji wao!
Unahonga vipi timu ambayo huchezi nayo? Hivi wewe una akili timamu kweli? nilidhani upumbavu wako ni kule jukwaa la siasa tu kumbe hata michezo zero bashite hujui lolote.
 
IMG-20170415-WA0010.jpg
 
Unahonga vipi timu ambayo huchezi nayo? Hivi wewe una akili timamu kweli? nilidhani upumbavu wako ni kule jukwaa la siasa tu kumbe hata michezo zero bashite hujui lolote.

Hata kwny Masuala ya Mpira na utani wa hapa na hapa ( Utani wa Jadi) bado unakuwa na ghadhabu na Chuki za kutoa Matusi? Nilidhan kwny Mpira huto behave kisiasa! Jirekebishe Ndugu

Maisha bila ya Chuki za Kisiasa yanawezekana Ndugu
 
Eti Simba mnyama ameng'ang'aniwa na ka-Toto huko Mwanza? Na mwaka huu kombe atalisikia tu!!
 
Back
Top Bottom